Ali Kiba asaini mkataba na Sony Music, South Africa

kama unaelewa maana ya hii sentesi haina haja ya kuendelea na mabishano
"second major artist to sign"
Una uvivu wa kusoma halafu unataka kubishana,"second major artist to sign" wanamaanisha kwa Afrika yeye ni wapili baada ya Davido,rudi pale juu usome vizuri, lakini wakasema yeye ni wa kwanza east Africa wakati si kweli kuna kama Rose Muhando Nakaaya Sumari na kuna mkenya pia.
 
we jamaa uelewa wako mdogo sana

hyo tafsir yako ni kama wangeandika
second artist to sign

lakin wameandika
'second major artist to sign'
msanii wa pili mkubwa ku sign...

labda uwakosoe kwamba wamekosea either davido na alikiba sio wasanii wakubwa Africa au Rose muhando pia ni msanii mkubwa Africa
 
we jamaa uelewa wako mdogo sana
'second major artist to sign'
msanii wa pili mkubwa ku sign...

labda uwakosoe either davido na alikiba sio wasanii wakubwa Africa au Rose muhando pia ni msanii mkubwa Africa
Haya wewe mwenye uwelewa hebu niambie hiyo sentensi ya mwisho mbona unaiacha kwa malengo gani ................. "and will also be the first from East Africa" ( mimi najua wamesahau ila nakushangaa wewe unayepinga kwa sisi kuwarekebisha na kuwapa kumbukumbu nyinyi mliosahau/msiofahamu)
 
Lets say una kipaji do you really need Sony na Rose Muhando na hiyo Sony wamefika wapi? Na how come hawa Sony wanaingia mikataba ambayo wanajua fika they cannot promote-promotion inahitaji kitu sellable-sasa huyu Kiba can he really sell??
 

Ni kweli ndo maana Chris Brown amekwisha kwa sababu yuko lebo moja na Rose Muhando
 
Huu mkataba unaenda kummaliza Kiba mazima. Sony ilimmaliza Redsan, Nakaaya, Rose muhando, Davido. Zamu ya Kiba sasa kupigiliwa msumali wa mwisho.

Ndio maana hata Davido pia amemalizwa na hii kampuni
 
Huu mkataba unaenda kummaliza Kiba mazima. Sony ilimmaliza Redsan, Nakaaya, Rose muhando, Davido. Zamu ya Kiba sasa kupigiliwa msumali wa mwisho.
nikupe kikombe kingine cha kahawa mkuu..!🙂
 
Baada ya kupongeza unaponda wivu ni ugonjwa asee, we ulitaka asign nani ufurahi?
Nimuonee wivu like kwa lipi hasa ?? Wabongo bana mtu ukiongea ukweli nayo shida...

Mi sio muimbaji na sina fani hyo na sio fan wa diamond sijui team kiba stupidity ila msela ki ufupi na ki ukweli hajui and he isnt innovative kama mwenzake.

Media coverage kuuubwa ila ndio hivyo no new hits nothing new. Same old boring style and unattractive swag.

Its clear u can just see from the reaction of people out there. Kwan ku sign mkataba na Sony ndio tija ??

Mi mtoto wa ki Chagga bana siimbi mziki ila i can definitely & accurately tell and spot where the big money is going to be made (Bet it all son). He is not of a good investment.
 

Kunatofaut hapo bwana mdogo...omba ueleweshwe
 
Baada ya dili ya sony kiba amesaini dili nyingine hii na bado dili nyingine 5 zitakazokamilika ndani ya saa 48
 
Ni kweli ndo maana Chris Brown amekwisha kwa sababu yuko lebo moja na Rose Muhando
Ni kweli ndo maana Chris Brown amekwisha kwa sababu yuko lebo moja na Rose Muhando
Ni kweli ndo maana Chris Brown amekwisha kwa sababu yuko lebo moja na Rose Muhando
Sony Africa makao makuu yake yapo S.A Sony world wide ipo Marekani.. Davido na chris ni Sony world wide pia Nakaaya sumari ameshawahi kusign hiyo Sony world wide, kina Rose muhando, Redson wa kenya na Alikiba wamesign Sony Africa. Hata hiyo label ya kiba ya sasa ya rockstar imetokea SonyAfrica. nafikiri umenielewa mkurugenzi
 
Lets say una kipaji do you really need Sony na Rose Muhando na hiyo Sony wamefika wapi? Na how come hawa Sony wanaingia mikataba ambayo wanajua fika they cannot promote-promotion inahitaji kitu sellable-sasa huyu Kiba can he really sell??
Kipaji peke yake hakitoshi bila kuwa na timu inayofahamu tasnia ya muziki! Kiba kipaji anacho lakini hana timu ya maana kwahiyo sio mbaya akiwajaribu Sony!

Nasema kuwajaribu kv Sony Africa wame-prove failure! Labda wabadilike sasa baada ya kufanya some reorganization.

Binafsi nashindwa kuielewa business model yao manake set up yake tu tayari inawaandaa ku-fail. Ukichukua wasanii kutoka Sony Music Entertainment na subsidiaries zake wanaweza kufika 200 na zaidi kutoka sehemu mbalimbali duniani!

Sasa unapokuwa na idadi kubwa ya wasanii namna hii; wasanii kutoka hizi nchi zetu hawawezi kupata privilege waipatayo wasanii wao waliopo kwenye label kubwa kubwa kv Columbia Records au RCA. Kwahiyo mafanikio ya watu kama akina Kiba yatategemea sana na management ya Sony Music South Africa Office na sio Sony yenyewe ya US na ndio hata hawa waliopo; kwa Anglophone anaefanya vizuri ni AKA peke yake! For Davido it's too early to say! D'banj amebaki kulilia collabo tu toka kwa akina Chibu!

But all in all, as I said earlier; kv Kiba hakuwa na timu ya maana basi sio mbaya akiwajaribu! Muhimu ni kutokuwa too optimistic na porojo za kutangaziwa muziki wake dunia mzima!! Hizi ni porojo zisizo na maana yoyote cuz Sony wana wanamuziki kibao toka nchi za Asia, Ulaya, Oceania hadi Middle East... mbona hatuzioni kazi zao huku!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…