serio
JF-Expert Member
- Apr 15, 2011
- 7,340
- 4,734
Sio Nakaya Sumari?? Mambo yakabumaaa....Hata ROSE MUHANDO alisha sign sony music kitambo sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio Nakaya Sumari?? Mambo yakabumaaa....Hata ROSE MUHANDO alisha sign sony music kitambo sana
punguza jazba dogo ameshasaini.Hana issue... Analazimisha mambo tu.
Hana issue... Analazimisha mambo tu.
Una uvivu wa kusoma halafu unataka kubishana,"second major artist to sign" wanamaanisha kwa Afrika yeye ni wapili baada ya Davido,rudi pale juu usome vizuri, lakini wakasema yeye ni wa kwanza east Africa wakati si kweli kuna kama Rose Muhando Nakaaya Sumari na kuna mkenya pia.kama unaelewa maana ya hii sentesi haina haja ya kuendelea na mabishano
"second major artist to sign"
we jamaa uelewa wako mdogo sanaUna uvivu wa kusoma halafu unataka kubishana,"second major artist to sign" wanamaanisha kwa Afrika yeye ni wapili baada ya Davido,rudi pale juu usome vizuri, lakini wakasema yeye ni wa kwanza east Africa wakati si kweli kuna kama Rose Muhando Nakaaya Sumari na kuna mkenya pia.
Haya wewe mwenye uwelewa hebu niambie hiyo sentensi ya mwisho mbona unaiacha kwa malengo gani ................. "and will also be the first from East Africa" ( mimi najua wamesahau ila nakushangaa wewe unayepinga kwa sisi kuwarekebisha na kuwapa kumbukumbu nyinyi mliosahau/msiofahamu)we jamaa uelewa wako mdogo sana
'second major artist to sign'
msanii wa pili mkubwa ku sign...
labda uwakosoe either davido na alikiba sio wasanii wakubwa Africa au Rose muhando pia ni msanii mkubwa Africa
Lets say una kipaji do you really need Sony na Rose Muhando na hiyo Sony wamefika wapi? Na how come hawa Sony wanaingia mikataba ambayo wanajua fika they cannot promote-promotion inahitaji kitu sellable-sasa huyu Kiba can he really sell??Kuwa kwenye label kubwa kama Sony kuna faida zake kv kunatoa uwezekano wa kazi za msanii kuwa widely promoted!
Tatizo Sony Music siku hizi wazinguaji sana kwahiyo hata huyo Kiba anatakiwa kukaza na asidhani ameshafika vinginevyo anaweza kujikuta anaharibikiwa zaidi kv atalazimika kuwa bound na mikataba isiyovunjika kienyeji kama ile na ya akina Ustaadh Msoma!
Kwa mara ya kwanza Tanzania Sony walimsainisha Rose Mhando lakini hamna chochote cha maana ambacho walifanya nae.
ni kweli kashamwaga wino Sony, ni habari njema sana, kuwa lebo moja na Rose muhando sio jambo dogo.
Global recording company Sony Music Entertainment is proud to announce the signing of East African Gospel Star Rose Muhando to its roster of artists , which includes some of the most important recordings in history. The signing was announced at a press conference in Dares Salaam, Tanzania on the 9 th February 2011, and is the first deal of its kind for East Africa.
source: www.rockstar4000.com/m/blogpost?id=3633140%3ABlogPost%3A31944
Huu mkataba unaenda kummaliza Kiba mazima. Sony ilimmaliza Redsan, Nakaaya, Rose muhando, Davido. Zamu ya Kiba sasa kupigiliwa msumali wa mwisho.
nikupe kikombe kingine cha kahawa mkuu..!🙂Huu mkataba unaenda kummaliza Kiba mazima. Sony ilimmaliza Redsan, Nakaaya, Rose muhando, Davido. Zamu ya Kiba sasa kupigiliwa msumali wa mwisho.
Nimuonee wivu like kwa lipi hasa ?? Wabongo bana mtu ukiongea ukweli nayo shida...Baada ya kupongeza unaponda wivu ni ugonjwa asee, we ulitaka asign nani ufurahi?
ni kweli kashamwaga wino Sony, ni habari njema sana, kuwa lebo moja na Rose muhando sio jambo dogo.
Global recording company Sony Music Entertainment is proud to announce the signing of East African Gospel Star Rose Muhando to its roster of artists , which includes some of the most important recordings in history. The signing was announced at a press conference in Dares Salaam, Tanzania on the 9 th February 2011, and is the first deal of its kind for East Africa.
source: www.rockstar4000.com/m/blogpost?id=3633140%3ABlogPost%3A31944
Davido wa sasa utamfananisha na wa 2015 kurudi nyuma?Ndio maana hata Davido pia amemalizwa na hii kampuni
Ni kweli ndo maana Chris Brown amekwisha kwa sababu yuko lebo moja na Rose Muhando
Ni kweli ndo maana Chris Brown amekwisha kwa sababu yuko lebo moja na Rose Muhando
Sony Africa makao makuu yake yapo S.A Sony world wide ipo Marekani.. Davido na chris ni Sony world wide pia Nakaaya sumari ameshawahi kusign hiyo Sony world wide, kina Rose muhando, Redson wa kenya na Alikiba wamesign Sony Africa. Hata hiyo label ya kiba ya sasa ya rockstar imetokea SonyAfrica. nafikiri umenielewa mkurugenziNi kweli ndo maana Chris Brown amekwisha kwa sababu yuko lebo moja na Rose Muhando
Kipaji peke yake hakitoshi bila kuwa na timu inayofahamu tasnia ya muziki! Kiba kipaji anacho lakini hana timu ya maana kwahiyo sio mbaya akiwajaribu Sony!Lets say una kipaji do you really need Sony na Rose Muhando na hiyo Sony wamefika wapi? Na how come hawa Sony wanaingia mikataba ambayo wanajua fika they cannot promote-promotion inahitaji kitu sellable-sasa huyu Kiba can he really sell??