Nyie ndio mko na msanii mjanja mjanja sio anajisifu kama demuBasi na mimi nampongeza
Kajitahidi asee
Huu ndio unaitwa mtimanyongo au kiroho papoDuh Tuzo nyingine buana .....mhhhh
haya hongera yake.
Utaendaje kupokea tuzo usizozijua [emoji4] [emoji4]Hongera yake kijana,tuzo za huyu kijana huwa hawaendi kuzipokea kama yule mwenzake ambavyo hufanya?
Duu yaani mnatumia nguvu kuvote hata mchanganiHaya masela na mashabiki wenzangu wa king kiba tuendelee kuvote na huku.
Tuzo za vichochoron.....ama kweli kipofu kaona nyotaUyu jamaa anashindaje tuzo wakati hafanyagi promo sana? Au ananunua?...ha ha ha ha.
Hongera alikiba, kazi nzuri unayofanya imeanza kuonekana
Ha ha ha...aliposhinda diamond haukusema ni ya vichochoroni.Tuzo za vichochoron.....ama kweli kipofu kaona nyota
ImooooooooooooHa ha ha...aliposhinda diamond haukusema ni ya vichochoroni.
Afu kama huzijui, usifikiri kila mtu hazijui