Ali Kiba ashinda tuzo za NAFCA na The Nol

Ali Kiba ashinda tuzo za NAFCA na The Nol

Iv huwa hawalipwi??? Maana ndugu yetu anamiliki sauti nzuri tu but nothing tangible
 
Mbona huyu jamaa anapitia njia alizo pitia diamond japo alianza mziki kabla mwenzake alikuwa wapi miaka yote sasa ivi ndo anatoboa
 
Alikiba ashinda tuzo mbili za The Nollywood & African Film Critics (NAFCA)

Alikiba ameshinda vipengele viwili kwenye tuzo za heshima kubwa za The Nollywood & African Film Critics (NAFCA) ambazo hutolewa nchini Marekani.

Tuzo za mwaka huu zilitolewa wikiendi hii kwenye ukumbi wa Alex Theatre of Glendale, huko California. Zilikuwa ni tuzo za 6 na zilionekana katika nchi mbalimbali duniani.

Alikiba ameshinda kipengele cha Favorite Artist of The Year na Favorite Song of The Year. Source: @bongofiveView attachment 438495
Hizi tuzo ndio kwanza leo nazisikia. Any way Hongera Allykiba. Hongera kwa kupeperusha Bendera ya tz vizuri.
 
Team arsenal wakame wa makombe wakipata ata ndondo cup mtaa wa pili no kulala
 
Hivi ali kiba anajua kupiga hilo hitaa alilobeba au mbwembwe tu?
hitaa=gitaa
Hata kama hawezi ila kuna fundi anaitwa passio losso guitor tz nzima cjawah.....ckiliza manuar ya cassim mganga,chekecha,mwana na nyimbo karbia zote za kuanzia 2014 utalikuta
 
Team arsenal wakame wa makombe wakipata ata ndondo cup mtaa wa pili no kulala
Mbona tumelala na wala hatushauka na tuzo kama ilivo midomo yenu mikubwa..ukiwa na adabu utapendwa na kila mtu endeeleni kupumuliwa na mr janja
 
Back
Top Bottom