Ali Kiba ashinda tuzo za NAFCA na The Nol

Nikumbushe tuu kuwa kwenye hizi tuzo diamond pia alikuwa nominee!!,,
 
Mbona tumelala na wala hatushauka na tuzo kama ilivo midomo yenu mikubwa..ukiwa na adabu utapendwa na kila mtu endeeleni kupumuliwa na mr janja
Povu linavokutoka utafikli umekula ommo
Hajivunii kwa alicho nacho hta kama ni kidogo au kingi na jamaa ni mtu wa dini sana dats y anakua cul hvo
Mtu wa dini afu unaimba bongo flava
 
Hongera sana King Kiba kila la heri mkuu. wanasema mziki wako unaishia Chalinze sasa sijui hizo tuzo zinatolewa msoga ama wapi !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…