Ali Kiba atangaza rasmi kuanza ku-follow watu lakini kwa condition hii

Ndo atabaki nalo Hilo Hilo, badala ya kuandaa tour yyt..
 
Kibakuli ni mbuluraz,Obama mwenyewe amefollow watu sembuse huyo dogo limbukeni?
 
Kiruuuuuuu ndo nin sasa hivo... Kiba bana hehehe
 
Ujio wa Mavoko umemmaliza Kiba. Jamaa ana gundu kwelikweli. Hakuna anayekumbuka kama katoa ngoma juzi juzi. Imebaki story Rich Mavoko.

Babu habebeki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…