Ali Kiba atimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa kapewa aishi

Ali Kiba atimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa kapewa aishi

Salaam,wadau natoa rai kwa wadau wote wa hili jukwaa haijalishi wewe ni team Kiba au Team Mond.

Tumchangie ili aweze kukamiliaha mjengo wake au aweze kupata nyumba nyingine ya kuishi,hii ni kutokana na manyanyaso anayo yapata ya kufukuzwa kwenye nyumba anayo ishi sasa.

Kiba ni star mkubwa sana hapa nchini anastahiri kupewa heshima ya makazi bora.

Utaratibu wa mchango nawasiliana na menejas wa Kiba ili waweze kuratibu mchakato mzima wa jinsi ya kupokea michango hiyo.

kwa kuanzia mimi natoa laki moja na nusu.

karibuni watanzia wazalendo.

C wameuza nyimbo za dai itune zitumike kumjengea .
 
Hii ni aibu kwa msanii mkubwa kama King kiba kurudisha mpira kwa kipa (kurudi kukaa kwa mama ake).. nitachangia laki 2
 
Wanawake tukiamua tunaweza, tumemsapoti kapata tuzo, tumempangishia nyumba, na tunaahidi kumuhifadhi kwa kipindi hiki....natoa laki tena imejensi imeangukia tarehe zenyewe shemeji atakua anakaribia kutuwezesha

Hima wanawake njooni mum saport mtu wenu.........Wanawake mkiamua mnaweza

Tafadhali cute b atoto nifah njooni mtoe mchango huku

Kijana wenu anahitaji msaada

Naongeza Laki Mbili
 
Last edited by a moderator:
Wanawake tukiamua tunaweza, tumemsapoti kapata tuzo, tumempangishia nyumba, na tunaahidi kumuhifadhi kwa kipindi hiki....natoa laki tena imejensi imeangukia tarehe zenyewe shemeji atakua anakaribia kutuwezesha

Anazuga anafanya tour ya daladala kumbe analalamo siku inaishia kwenye daladala,kwa kweli anahitaji msaada wa dharula tumpeleke kwenye mahema ya mabwepande kwa wahanga wa mafuriko wasiokua na makazi kama yeye,.
 
Ha ha ha mwenyewe anaita daladala tour, akifika level za nje...ataanza meli tour na ndege tour!!!
 
Dah! Yani kweli karudi kwa Mama yake..!!!

Noma sana hii, jamani.
 
ImageUploadedByJamiiForums1435235622.715600.jpg
 
Nimesoma comment zote nilichogundua ni
1. huu mjengo mwanzoni ulitambulishwa kua unamilikiwa na kiba na hakuna aliyekanusha toka upande wa kiba sasa baada ya haya ya kupangishwa/kuwekwa kufahamika hapo ndio limekuja tatizo.Hapo team kiba kubalini mlichemka.Pamoja na hayo namuombea kiba naye siku moja ahamie kwake jina lake haliendani na maisha yake.
2. watu wengi wanaongelea poor management ya kiba.huu ni ukweli na nyie mliokaribu naye mwambieni ukweli kiba kuliko kuendelea kumdanganya wakati anaendelea ku lost.
3.kuhusu nani anamiliki mjengo.mimi sidhani kama ni issue kubwa sana ila ukweli unabaki palepale Kiba unatakiwa ubadilike na mabadiliko ni sasa.wanaokusapoti watachoka na watakugeuka siku moja.

wanarudi kwa dai, itakua shidaaa.
 
namchangia 👕👟👒👖👢
 
Tuzo zilitakiwa zikae kabatini kwake, ila sahivi zipo kabatini kwa maza....
Haya yanatokea kweli.!??
Nasubiri neno toka kwa mfalme wa mwituni.

Lakini, kama haya ni kweli hawa watu wameshindwa mfadhili nyumba.?
 
Haya yanatokea kweli.!??
Nasubiri neno toka kwa mfalme wa mwituni.

Lakini, kama haya ni kweli hawa watu wameshindwa mfadhili nyumba.?

mwenzake baba mwenye nyumba, yeye anaona bora aitwe baba mwenye tuzo.
 
Back
Top Bottom