Kwakweli tangu jana unanichekesha eti asijiite king hadi apate nyumba ha ha ha mara baba mwenye tuzo
mi najiuliza baba mwenye nyumba tunamuita faza haus, sasa baba mwenye tuzo tunamwita faza nini?
Tuzo zilitakiwa zikae kabatini kwake, ila sahivi zipo kabatini kwa maza....
mi najiuliza baba mwenye nyumba tunamuita faza haus, sasa baba mwenye tuzo tunamwita faza nini?
Ha ha ha zitavunjika sasa kama sio kupotea kabisa.....Tuzo zimewekwa kwenye mfukonwa rambo...
Kabati la mama kaweka vyombo vyake....
Yani atoe vyombo aweke tuzo zisizomsaidia kitu?...
Hell no...
Welcome back....nlikumiss, pia kuna harambee tunaomba mchango ha ha haahahahahaa!!tutamuita father awards
Welcome back....nlikumiss, pia kuna harambee tunaomba mchango ha ha ha
Itatosha kabisa, tumchangie huyu mfalme asokua na makaziAhahah ahsante sana my!niliwamisije sasa!!mi kwa upande wangu nitatoa 50 elfu tu nadhani itatosha
Ha ha ha zitavunjika sasa kama sio kupotea kabisa.....
wazazi wenzie na huyu king mswati hata siwajuagi, namjua tu huyu boss alokua anampa jeuri ya kukoroma usikuLabda ataenda kukaa kwa devotha mzazi mwenzie!na alivyokuwa anamdharau sasa!ahaha king ameniacha hoi kweli
Jokate halei marioo, karudi tu nyumbani.....nani kama mama, home sweet home ha ha haDah mfalme mzima hana nyumba??! Duh noma kweli... Team kibakuli mpooooo??? Bwana enu anaadhirika huku, ametupiwa vyombo nje na tuzo kaweka kwenye malboro, sasa jokate si amuhifadhi, au anarudi kwa maza?? Hahahaaa... Team kibakuli mpooooo....!!!?? Yereee!!
wazazi wenzie na huyu king mswati hata siwajuagi, namjua tu huyu boss alokua anampa jeuri ya kukoroma usiku
Hahahahahah kingkiba
Vipi na slogan ya k 4 real hhahahagahq
Mi mmoja ndio namjua kidogo ila wale wengine wawili king anawaficha akiwemo yule housegirl alozaa naye,sijui anaona aibu kuwaonyesha hata sijui mwenzangu.
Wacha tu mungu amlipe king haphapa duniani kwakweli,aliyowafanyia wale mama watoto zake ni ya kuumiza sana,asitubu kwa mungu wake dhambi hizi zitaendelea kumfata kila sehemu