Diamond chukua tahadhari leo kwa kiba kesho kwako imarisha ulinzi nyumbani kwako!!
Mateja hao majambaz now hawaibi vitu wanaiba pesa tu kiba apost picha ya vitu vyake insta tumsaidie vilipo hifadhiwa
kuna kitu nilikihisi wakati nasoma hiyo habari ya kiba kuibiwa nikajiuliza why after zari white party?
nikaona ngoja nikae kimya kwa clouds kila kitu kinawezekana!!
kuna kitu nilikihisi wakati nasoma hiyo habari ya kiba kuibiwa nikajiuliza why after zari white party?
nikaona ngoja nikae kimya kwa clouds kila kitu kinawezekana!!
Sijui hata nielewe nini....
Fungua link uone ujumbe mzito aliopewa kiba kabla ya kuvamiwa yee si anatuma watu wazonee sasa si atutumi wazomee
Mbona hamsemi mnataka kwenda kuwaibia matajiri wa nchi hii mnapanga kumuibia msanii Diamond...acheni wivu...khaaaaa na kuibiwa kuwe mashindano basi nyie nendeni mkaweke vyenu barabarani muibiwe mtangazwe pia.
badala ya kukiongelea tukio lisilo zuri kama ili mnamuonea wivu Diamond yaani kweli wivu wenu mwenzenu ndio anapaaaa
Kiba ana nini cha kuibiwa..?? Kiki nyingine hzi..!!
Akwendee
Kiba ana nini cha kuibiwa..?? Kiki nyingine hzi..!!
Akwendee