Pole kiba watu hawana huruma,hapo ndo nimepata jibu la kwa nini ukuta wa daimond ucku,una waka taa za aina yake huwz hata kucmama dkk kumi bila sababu kama unajielewa unahic kamera za cctv zinakuchukua zinamshinda deo jirani yake na m/kt wake wa serikali ya mtaa, so kiba wekeza kwenye ulinzi,mlinzi mmoja tu kweli kama cc wa kawaida huku kumbe wewe ni star mkubwa
Mhhhh inamaana wote wanaoibiwa huwa wanatangaza mali zao?
Subwoofer ya sea piano
Nenda kasome ule uzi special wa fans wa diamond halafu uje tuongee hapa!
nenda kasome ule uzi special wa fans wa diamond halafu uje tuongee hapa!
yani hicho kimalaya huwa kinakera sana.
nimekupata kule..hata sikwenda kwa post nimeenda kwa profile yako then latest posts....poa
punguza kiherehere utapigwa mimba kabla ya umri.