Ali Kiba avamiwa na majambazi nyumbani kwake

Ali Kiba avamiwa na majambazi nyumbani kwake

Huyu Kiba ana mkosi. Mwezi uliopita mawingu walimwandalia shoo ya nguvu mikoani, wakavuta pesa wakampa Kiba pesa ya sigara tu naye akaridhika. Mzee wa magazeti ya udaku kamuandalia shoo Dar live na kupewa pesa mbuzi huku akiambiwa ati wanamjenga asubiri kwanza.

Amekuwa mtu wa kudhulumiwa na kuibiwa, tunawezaje kumsaidia naye alipwe kama fulani? Sister nifah tumsaidie huyu na siyo kukaa nyuma ya key board kumsifu.
 
Taarifa zinasema mlinzi wa kiba ameteswa sana,so ina maana hajaweka hata security wire or nn,lakini mwezi uliopita nilipita nje ya nyumba ya dai ucku taa zinavyomulika kuliko watu wote wa ule mtaa ingawa aslimia kubwa mijengo ya pale haijatofautiana sana ila kwa mazingira ya ile nymba ya mondi na yale mataa yanavyomulika lazma kutakuwa na cctv camera na wire wa kunasia wezi kama hao waliomwimbia kiba labda utakuwa umenielewa

Au nawewe ulitaka kumuibia Diamond ukanywea baada ya kuhisi cctv inakuchukua?
 
Hamna wala ckujua kama ni kwa dai,nilikuwa napita na hamcn zangu ule utofauti wa yale mataa ndo nikauliza hapa kwa nani nikaambiwa kwa dai,kweli after 2 days nikaona kapost ukuta umedondoka ,mkuu kende
 
kiba alikuwepo chumba kingine tofauti na kile anacholalaga siku zote, nachojiuliza hana hata gobole au bisto angalau kuweza kupiga risasi juu kuwarisha hao wezi??
 
Back
Top Bottom