ObieTrice
Senior Member
- Jun 27, 2017
- 159
- 154
baadhi ya wafanya kazi wa Clouds media kama perfecto alicheka nusu kuzimia ila soudy brown akaishia kuanzisha mada instagram kwa kuandika maneno haya
"Kabla ya yote kwanza Tujadiliane kuhusu Dress Code ya@officialalikiba"
"Kabla ya yote kwanza Tujadiliane kuhusu Dress Code ya@officialalikiba"