Ali Kiba awavunja mbavu Clouds Media kwa Kipensi cha ajabu alichovaa

Kwa hiyo huyo mwanaume WA Dar hapo anayeitwa pafecto alicheka kidogo azime eti?
 
huo uajabu upo wapi jamani au mi macho yangu ndio hayaonagi uajabu nini
 
Kaamua kudhibitisha kuwa yeye ni choko.
Kumpenda sana Diamond haifai kuwa sababu ya kumchukia sana Ali Kiba.

Wewe mwanaume ulifungua thread hapa kuwa ukipeana mkono na mtu lazima utatafuta maji na sabuni unawe mikono ndiyo uweze kuendelea na shuhuli zako huna jeuri ya kumuita mtu shoga eti kwasababu tu amevaa pensi.

Huyu hapa Diamond kachojoa kabisa ila mimi sidhani kama ni shoga.
27a072417fcb34302d6397a49de5b428.jpg
 
Mkuu si mchezo,maana hii nguvu uliyotumia hapa si ya Sayari hii.
 
baadhi ya wafanya kazi wa Clouds media kama perfecto alicheka nusu kuzimia ila soudy brown akaishia kuanzisha mada instagram kwa kuandika maneno haya

"Kabla ya yote kwanza Tujadiliane kuhusu Dress Code ya@officialalikiba"

Oya ' Team Kiba ' mliojazana humu JF hivi huyu ' Mtu ' wenu Watu / Masela ' hawatelezi ' nae kweli katika ' tope ' la asili?
 
Kumpenda sana Diamond haifai kuwa sababu ya kumchukia sana Ali Kiba.

Wewe mwanaume ulifungua thread hapa kuwa ukipeana mkono na mtu lazima utatafuta maji na sabuni unawe mikono ndiyo uweze kuendelea na shuhuli zako huna jeuri ya kumuita mtu shoga eti kwasababu tu amevaa pensi.

Huyu hapa Diamond kachojoa kabisa ila mimi sidhani kama ni shoga.
27a072417fcb34302d6397a49de5b428.jpg
Wasafi. Com baby
 
Oya ' Team Kiba ' mliojazana humu JF hivi huyu ' Mtu ' wenu Watu / Masela ' hawatelezi ' nae kweli katika ' tope ' la asili?
Mara ya kwanza ulivyosema kuwa uko Puetrorico nilidhani kweli,

Ila kwa hii lack of exposure uliyoonyesha hapa ni either hata Nairobi tu hujawahi kutia pua au ni kweli unasafiri ila wewe ni wale mashabiki mandazi ambao wanaamini kuwa kuonyesha kuwa unampenda sana Diamond unapaswa kumtukana sana Ali Kiba.
 
watanzania tuna kazi kwakweli..hapo angevaa drake msingeongea haya maneno ya ajabu...huyo ni star si level yako unaehate...star anavaa kwakuwa anataka kumake attention kwa watu....wabongo inabidi tubadili mindset zetu kwakweli
 
Kila mtu anachagua rangi anayoipenda.

Muone mkuu hapa kachagua rangi hii na katoka bomba tu.
c5f50cefacbb4a65274836de89de91ab.jpg

Tuheshimu choice za mavazi ya watu bila prejudice.

Eeeeeh kiroja

Usinipangie cha kuandika shaaaaa

Naona bado unapenda kumuona Mheshimiwa, wewe ni mmoja wa bonge la fans wake wakuu haswa humu JF.

Vizuri sana
 
Mara ya kwanza ulivyosema kuwa uko Puetrorico nilidhani kweli,

Ila kwa hii lack of exposure uliyoonyesha hapa ni either hata Nairobi tu hujawahi kutia pua au ni kweli unasafiri ila wewe ni wale mashabiki mandazi ambao wanaamini kuwa kuonyesha kuwa unampenda sana Diamond unapaswa kumtukana sana Ali Kiba.

Shikamoo Mkuu.
 
Kumpenda sana Diamond haifai kuwa sababu ya kumchukia sana Ali Kiba.

Wewe mwanaume ulifungua thread hapa kuwa ukipeana mkono na mtu lazima utatafuta maji na sabuni unawe mikono ndiyo uweze kuendelea na shuhuli zako huna jeuri ya kumuita mtu shoga eti kwasababu tu amevaa pensi.

Huyu hapa Diamond kachojoa kabisa ila mimi sidhani kama ni shoga.
27a072417fcb34302d6397a49de5b428.jpg
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
Back
Top Bottom