Heavy Weight
JF-Expert Member
- Mar 1, 2014
- 888
- 885
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ishakua shida aisee yani wasanii wetu wameanza kuzurura na boxa mtaani wanaume wa mikoani tunavaa ndani ya surualiHuyu hapa CHOKO mwingine [emoji23][emoji23]
Maana mnaendekeza chuki bila kuangalia tawi uliokalia.
Ha ha kacheka sana mkuuKwa hiyo huyo mwanaume WA Dar hapo anayeitwa pafecto alicheka kidogo azime eti?
Lol, ur so funnyMbona ni ishu ya kawaida kwa vijana wa Dar..
Sisi watu wa huku ipogolo ndiyo tumetoka kwenye kikao cha dhalura kuwa jadili hatma ya hawa vijana wa dar.. Wakiendelea na huu upuuzi wao tutawakatia misaada ya chakula
Tumedhamiria mikoa yote ya vijiji kuwatenga hawa watu wa jamhuri ya dar
hahahahha umeuaaaaa hasa sentensi yako ya mwisho, huhuhuhuhu pitia [emoji482] au[emoji485] LolHuyu hapa CHOKO mwingine [emoji23][emoji23]
Maana mnaendekeza chuki bila kuangalia tawi uliokalia.
Words[emoji106]Jamii yetu inapaswa kujifunza kuacha watu waishi maisha wayatakayo ili mradi hawavunji sheria tulizoziweka.
Tusijidanganye kwamba tuna utamaduni wetu nk mambo yanabadilika kila kukicha,na mtu hafungwi na tamaduni sehemu yoyote Ile.
Utamaduni wenu ni nini???Akivaa drake ni sawa coz sio utamaduni wetu ni wa kwao
kuna vitu vya kuiga toka nje Ila sio kila kitu kinapaswa kuigwa
Heavy Weight
Sijawahi kusoma Uzi mbovu hivi tangia nijiunge JF[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Uyu hare kyiiba is Mhaya?
Anahangaika etiMara avae mavazi ya kike
Hahaha jamani mna vituko hahahaKila mtu anachagua rangi anayoipenda.
Muone mkuu hapa kachagua rangi hii na katoka bomba tu.
Tuheshimu choice za mavazi ya watu bila prejudice.
Sasa yule mla unga hata akitembea uchi unafkiri tutashangaa...!??Mbona TID mnyama anavaaga hivyo sana tu
Kwahiyo hayo maisha ya kichoko ndio ameamua kuyaishi....Jamii yetu inapaswa kujifunza kuacha watu waishi maisha wayatakayo ili mradi hawavunji sheria tulizoziweka.
Tusijidanganye kwamba tuna utamaduni wetu nk mambo yanabadilika kila kukicha,na mtu hafungwi na tamaduni sehemu yoyote Ile.