Heavy Weight
JF-Expert Member
- Mar 1, 2014
- 888
- 885
Mambo mengi sana ni somo linalohitaji masaa pia kuelezea.Utamaduni wenu ni nini???
sijawahi kulielewa hili neno UTAMADUNI kwa hapa Tanzania.
lokole ni punga kitambo mbona.Huyo juma sijui... si anaonekana mpunga kabisa
Hahhhah. kama nakuona ivi kwa MwagongoMbona ni ishu ya kawaida kwa vijana wa Dar..
Sisi watu wa huku ipogolo ndiyo tumetoka kwenye kikao cha dhalura kuwa jadili hatma ya hawa vijana wa dar.. Wakiendelea na huu upuuzi wao tutawakatia misaada ya chakula
Tumedhamiria mikoa yote ya vijiji kuwatenga hawa watu wa jamhuri ya dar
Okkk....ila hizi ni character za kichimpanzee au? Tuweke akiba ya mitusi yetu...kumbuka kila mtu ana stock yake ya mafuvu kabatini...tukiyamwaga hapa patakuwa hapatoshi.Mi sishangai, character za ki- bushmen bado zinamuandama.
Sio kila mtu wa Kigoma ni Muha.Ni Mha/Muha
Duh!Kila mtu anachagua rangi anayoipenda.
Muone mkuu hapa kachagua rangi hii na katoka bomba tu.
Tuheshimu choice za mavazi ya watu bila prejudice.
Yan watu WA Dar wana matatizo sanaHakuna kitu kibaya kama njaa na umasikini wa mawazo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenikumbusha mbali sana hiiKumpenda sana Diamond haifai kuwa sababu ya kumchukia sana Ali Kiba.
Wewe mwanaume ulifungua thread hapa kuwa ukipeana mkono na mtu lazima utatafuta maji na sabuni unawe mikono ndiyo uweze kuendelea na shuhuli zako huna jeuri ya kumuita mtu shoga eti kwasababu tu amevaa pensi.
Huyu hapa Diamond kachojoa kabisa ila mimi sidhani kama ni shoga.
Anza kwanza kuniekekeza namna ya ku bold huku jfMbona ni ishu ya kawaida kwa vijana wa Dar..
Sisi watu wa huku ipogolo ndiyo tumetoka kwenye kikao cha dhalura kuwa jadili hatma ya hawa vijana wa dar.. Wakiendelea na huu upuuzi wao tutawakatia misaada ya chakula
Tumedhamiria mikoa yote ya vijiji kuwatenga hawa watu wa jamhuri ya dar
Ahsante mkuuSio kila mtu wa Kigoma ni Muha.
Ali ni Mmanyema.
Diamond Mmanyema.
Zitto Kabwe Muha.
Linex Sunday Mjeda ni Muha.
Mwasiti ni Mmanyema.
Baba Levo Muha.
Chege ni Mmanyema.