Ali Kiba awavunja mbavu Clouds Media kwa Kipensi cha ajabu alichovaa

Ali Kiba awavunja mbavu Clouds Media kwa Kipensi cha ajabu alichovaa

Mbona ni ishu ya kawaida kwa vijana wa Dar..

Sisi watu wa huku ipogolo ndiyo tumetoka kwenye kikao cha dhalura kuwa jadili hatma ya hawa vijana wa dar.. Wakiendelea na huu upuuzi wao tutawakatia misaada ya chakula

Tumedhamiria mikoa yote ya vijiji kuwatenga hawa watu wa jamhuri ya dar
Hahhhah. kama nakuona ivi kwa Mwagongo
 
Jambo la kawaida sana hilo mbona messi alitua na kipensi.huyo ni msanii
 
Mi sishangai, character za ki- bushmen bado zinamuandama.
Okkk....ila hizi ni character za kichimpanzee au? Tuweke akiba ya mitusi yetu...kumbuka kila mtu ana stock yake ya mafuvu kabatini...tukiyamwaga hapa patakuwa hapatoshi.
e9250a8582bf1d5f87d7658694291c21.jpg
 
Nafahamu fika tanzania ni homophobia ila kuna vitu tukua tunavikuza bila sababu ya msingi na tunapoteza muda hovyo, hiyo vaa ya alikiba ni ya kawaida sana na watu wengi tuu wanavaa hivyo

Ila habari za mwanaume kubinua tak... jukwaani hapo sio, mara mwanaume unatoa video uko na boxer na umepakwa mafuta hapo sio, lakini alivyovaa alikiba ni kawaida no matter how homophobia we are

Vya kukemea tukemee, vya ukweli tuzungumze, na tuache uzushi usio na msaada kwetu, nathubutu kusema sudi brown apunguze mchecheto
 
Kwa haraka kabisaa ni kama mtu anayeliwa kiboga muonekano wake
 
Unajua maish ya usupa star n tofaut na raia w kawaida kna vtu vwil hpaa msanii kna wakat anafaby jambo kw ajl ya kiki kwmb kna target anaiwek hpoo mfano labd anajiona yy kwny game sasa amekua ana lose kwhyoo il awekw level nzr lazma afany ktu na kw tz wasanii wanavuma kw kiki wala si kw kaz nzr wanayofnyaaa pilii upand mwngn kna jamii inamuelew jamaa kutokanaa na alchofnyaa wenyw wanaita fashion au fashionist sasa hpoo jamaa anapata max huyoo kibaa kuvaa kibukata km anavukaa mto msimbaz na yle anae vaa suruali imechanika kuanzia magotn mpk mapajan ni sawa tu wtee wapo uchii ilaa ndoo hvyoo fashion kna sehm anapata max so tuwaelew tu wasanii wtu n hali ya kawaid soo tuanz ku panik kw kuwapa majna ohoo shogaa oooh sjuii nn....dunia skuiz n utandawaz hamjasoma kwny civics globalization?
 
Hakuna kitu kibaya kama njaa na umasikini wa mawazo.
 
Kumpenda sana Diamond haifai kuwa sababu ya kumchukia sana Ali Kiba.

Wewe mwanaume ulifungua thread hapa kuwa ukipeana mkono na mtu lazima utatafuta maji na sabuni unawe mikono ndiyo uweze kuendelea na shuhuli zako huna jeuri ya kumuita mtu shoga eti kwasababu tu amevaa pensi.

Huyu hapa Diamond kachojoa kabisa ila mimi sidhani kama ni shoga.
27a072417fcb34302d6397a49de5b428.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenikumbusha mbali sana hii
 
Mbona ni ishu ya kawaida kwa vijana wa Dar..

Sisi watu wa huku ipogolo ndiyo tumetoka kwenye kikao cha dhalura kuwa jadili hatma ya hawa vijana wa dar.. Wakiendelea na huu upuuzi wao tutawakatia misaada ya chakula

Tumedhamiria mikoa yote ya vijiji kuwatenga hawa watu wa jamhuri ya dar
Anza kwanza kuniekekeza namna ya ku bold huku jf
 
Sio kila mtu wa Kigoma ni Muha.

Ali ni Mmanyema.

Diamond Mmanyema.

Zitto Kabwe Muha.

Linex Sunday Mjeda ni Muha.

Mwasiti ni Mmanyema.

Baba Levo Muha.

Chege ni Mmanyema.
Ahsante mkuu
 
Huyu jamaa wameshamharibu kabisa aise. Juzi kat hapa walimvalisha sketi kabisa
 
Back
Top Bottom