Ali Kiba awavunja mbavu Clouds Media kwa Kipensi cha ajabu alichovaa

Ali Kiba awavunja mbavu Clouds Media kwa Kipensi cha ajabu alichovaa

Sio kila mtu wa Kigoma ni Muha.

Ali ni Mmanyema.

Diamond Mmanyema.

Zitto Kabwe Muha.

Linex Sunday Mjeda ni Muha.

Mwasiti ni Mmanyema.

Baba Levo Muha.

Chege ni Mmanyema.
Zitto Kabwe ni Mmanyema my dear.
 
Kumpenda sana Diamond haifai kuwa sababu ya kumchukia sana Ali Kiba.

Wewe mwanaume ulifungua thread hapa kuwa ukipeana mkono na mtu lazima utatafuta maji na sabuni unawe mikono ndiyo uweze kuendelea na shuhuli zako huna jeuri ya kumuita mtu shoga eti kwasababu tu amevaa pensi.

Huyu hapa Diamond kachojoa kabisa ila mimi sidhani kama ni shoga.
27a072417fcb34302d6397a49de5b428.jpg
Huyu kipindi hicho alikuwa anaforce kutoboa kimuziki... ilikuwa kama kiki au sijui yalikuwa ni masharti ya mtaalamu labda
 
Huyu hapa CHOKO mwingine [emoji23][emoji23]
8287311613db333b6615e800a384a720.jpg

Maana mnaendekeza chuki bila kuangalia tawi uliokalia.
Kuna uhusiano gani wa mimi kusema Kiba choko,na wewe kuniwekea picha ya huyu mtu ....??
 
Inaniuma sana, yaani Ali wa Leo watu wanamvuna [emoji31] [emoji31] [emoji31]

Kwa mara ya kwanza namuona Mchambuzi D anavyotaga ndani ya uzi huu kila kona.

Kubali tu kijana wako ndiyo hivyo tu.
 
What is wrong with Ali Kiba dressing? Au mnasahau kuwa Kiba ni celebrity?
 
Mambo ya timu weka Kule namkubali kiba ila wanaume hatuna dress code ya namna hiyo asa mtoto wa kiislam kabisa nonsense tena jinga kabisa huo ni ulimbukeni ufala...isio na maadiili.
 
screenshot_2017-07-08-22-32-42_1-jpg.538114

hicho cha kibakuli si kama hichi, tofauti rangi tu ......... hata kwa nyuma nahis kina mwonekano huu.
 
Tatizo la wasanii wetu, Yale usiyoyategemea ndiyo wanafanya.
Bila kujali Wao Ni kioo
 
Back
Top Bottom