Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
We ndezi ndio maana unajiita ''PUNGA''. Kama hujui maana na dhima ya majukwaa ya JF piga kimya. Mimi nina heshima kubwa humu JF sasa usitake tukoseane heshima.utoto unakusumbua fanya kazi uingize pesa wacha UNAA
Una heshima gan mkuu na umejuaje?We ndezi ndio maana unajiita ''PUNGA''. Kama hujui maana na dhima ya majukwaa ya JF piga kimya. Mimi nina heshima kubwa humu JF sasa usitake tukoseane heshima.
Povu la nn wakati umeambiwa kweli.We ndezi ndio maana unajiita ''PUNGA''. Kama hujui maana na dhima ya majukwaa ya JF piga kimya. Mimi nina heshima kubwa humu JF sasa usitake tukoseane heshima.
Kuna cocacolA,kuna pepsi,kuna mirinda kuna fanta,kuna azam cola,kuna mo cola,kuna azam energy kuna mo energy.Mwanamuziki anayependelea kusafiria nyota ya Diamond Platnumz kwa kugeza ideas zake na kuzibadili kidogo, sasa anapanga kuzindua 'brand' ya nguo zake za KingaKiba (Jeans, Viatu, Tshirts) pia atazindua na 'energy drinks' zake.
Utakumbuka Ali Kiba anapenda league na Diamond maana ndio inasababisha azidi kuzungumziwa.
Uzi huu umekupunguzia HESHIMAWe ndezi ndio maana unajiita ''PUNGA''. Kama hujui maana na dhima ya majukwaa ya JF piga kimya. Mimi nina heshima kubwa humu JF sasa usitake tukoseane heshima.
Huyu mtoa mada boya kweliKuna cocacolA,kuna pepsi,kuna mirinda kuna fanta,kuna azam cola,kuna mo cola,kuna azam energy kuna mo energy.
Kuna clouds fm,kuna Efm.
Kuna EATV,kuna TV E.
Swali linakuja,Diamond amekuja na Chibu,Kiba na energy drink WANAFANANAJE?
Punguza UCHAWI.
Pia ni mafanikio
Kabisa,akae kimya tuUzi huu umekupunguzia HESHIMA
Anasema ana heshima zake JF,Huyu mtoa mada boya kweli