Ali Kiba azidi kugeza kwa Diamond Platnumz, sasa kuja na brand ya nguo na energy drinks

Ali Kiba azidi kugeza kwa Diamond Platnumz, sasa kuja na brand ya nguo na energy drinks

Tunasubiri kuona, huyu vitu vingi huwa anadanganya ili apate sifa za kijinga.
 
Ali wa Leo kisha zeeka, mashairi na kipaji pia kimefuata mkondo. Anapata sifa za mdomoni lakini hamna kitu mfukoni, ni maridadi sana.

Sasa anamlazimisha Kidoti arejee baada ya kumkana hadharani. Demu kamchomolea, abaki na huyo Saba wake.
 
We ndezi ndio maana unajiita ''PUNGA''. Kama hujui maana na dhima ya majukwaa ya JF piga kimya. Mimi nina heshima kubwa humu JF sasa usitake tukoseane heshima.
Unaheshima gani? Ya kukashifu majina ya watu,usitake kujikweza humu wakati ni kuku kapanda baiskeli
 
Ali wa Leo kisha zeeka, mashairi na kipaji pia kimefuata mkondo. Anapata sifa za mdomoni lakini hamna kitu mfukoni, ni maridadi sana.

Sasa anamlazimisha Kidoti arejee baada ya kumkana hadharani. Demu kamchomolea, abaki na huyo Saba wake.
Mbona umefungulia choo chako humu au ndo msimu wa mvua unang'oa koki kabisa
 
kitu gani kafanya diamond kipya? wema ashakuwa na lipsticks,jokate ana mabegi,wanaume tmk washakuwa na nguo zao hata gangwe mob washakuwa na gangwe gear,mnamshobokea sana hyo ndomo aiseee
 
Njooni mchangie huu uzi mbona mnapita kimya kimya, au hamtaki kuvaa King Kiba Fashion?
 
Mmh kweli Diamond ndio mwalimu wa Alikiba. Daimond akifa lazima Ali Kiva naye afe maana Huyu ndio Idol. Lkn huu ushindani mzuri wa maendeleo wa kugeza mawazo ya wengine.
 
Huyu huwa simuaminigi, hua anapelekwa na matukio, hanaga mipango. Mgt mbovu.
Lets wait n see.
 
Mmh kweli Diamond ndio mwalimu wa Alikiba. Daimond akifa lazima Ali Kiva naye afe maana Huyu ndio Idol. Lkn huu ushindani mzuri wa maendeleo wa kugeza mawazo ya wengine.
Acha Wivu usiokuwa na maana. Sioni popote Alikiba, aliposema atatoa perfume kama alivyofanya Diamond. Katoa products tofauti kabisa. Sasa huko kuiga kumetoka wapi? Kama ni suala la idea ya products za wasanii liko dunia mzima, sasa Sioni maana ya kusema huyu kamuiga huyu. Wote wawili wamefanya maamuzi sahihi kabisa. Hatuna budi kuwapongeza ili kuwatia moyo.
 
huyu kiba ni kama tu ray kipindi cha kanumba....alitembelea nyota ya mwenzie wee alipokufa kanumba tu ray chaliii...
 
Alykiba? Anaweza kukwambia this weeka naachia bonge la video, baada ya mwezi atakwambia kuna vitu tunaviweka sawa kwanza you know this is big big project, so inahitaji maandalizi, yoooh!
 
Ali kibao si wakuamini mpaka uone mzigo kwa macho yako mana kashatuahidi mambo kibao mpaka leo kimya
 
Roho ya korosho tu inakusumbua ww..........Acha wivu mkuu

Jamaa wanaingiza pesa ww unapiga majungu
 
Mimi nashangaa hapa wakati anadumisha Tanzania ya viwanda.
 
Ali wa Leo kisha zeeka, mashairi na kipaji pia kimefuata mkondo. Anapata sifa za mdomoni lakini hamna kitu mfukoni, ni maridadi sana.

Sasa anamlazimisha Kidoti arejee baada ya kumkana hadharani. Demu kamchomolea, abaki na huyo Saba wake.
Muone huyu alivyokosa aibu...Yaani mkishashiba mna-kunya popote tu.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kuna cocacolA,kuna pepsi,kuna mirinda kuna fanta,kuna azam cola,kuna mo cola,kuna azam energy kuna mo energy.
Kuna clouds fm,kuna Efm.
Kuna EATV,kuna TV E.
Swali linakuja,Diamond amekuja na Chibu,Kiba na energy drink WANAFANANAJE?
Punguza UCHAWI.
Pia ni mafanikio
Safi mkuu
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom