Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Mkuu huu Uzi kdg umekutoa ktk line,calm downWe ndezi ndio maana unajiita ''PUNGA''. Kama hujui maana na dhima ya majukwaa ya JF piga kimya. Mimi nina heshima kubwa humu JF sasa usitake tukoseane heshima.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Heshima wapi ,u mods labda
Wenzio wanatafuta pesa wewe na ushabiki maandazi wako unawashindanisha...Mwanamuziki anayependelea kusafiria nyota ya Diamond Platnumz kwa kugeza ideas zake na kuzibadili kidogo, sasa anapanga kuzindua 'brand' ya nguo zake za KingaKiba (Jeans, Viatu, Tshirts) pia atazindua na 'energy drinks' zake.
Utakumbuka Ali Kiba anapenda league na Diamond maana ndio inasababisha azidi kuzungumziwa.
Wivu Wa KIKE wewe BWEGE!Mwanamuziki anayependelea kusafiria nyota ya Diamond Platnumz kwa kugeza ideas zake na kuzibadili kidogo, sasa anapanga kuzindua 'brand' ya nguo zake za KingaKiba (Jeans, Viatu, Tshirts) pia atazindua na 'energy drinks' zake.
Utakumbuka Ali Kiba anapenda league na Diamond maana ndio inasababisha azidi kuzungumziwa.
Asante kwa promo..Mwanamuziki anayependelea kusafiria nyota ya Diamond Platnumz kwa kugeza ideas zake na kuzibadili kidogo, sasa anapanga kuzindua 'brand' ya nguo zake za KingaKiba (Jeans, Viatu, Tshirts) pia atazindua na 'energy drinks' zake.
Utakumbuka Ali Kiba anapenda league na Diamond maana ndio inasababisha azidi kuzungumziwa.
Team Madale wakija kuponda nistue nije kuwapa vipande vyao.[/QUOTE,WCB mzee baba inaonekana inakunyima raha sana,ila hata hawakujui kama kiba asivo kujua.Go boy labda cku moja WCB itafall utasuuzika nafsi.Don't give up the hatred son