Unaheshima gani? Ya kukashifu majina ya watu,usitake kujikweza humu wakati ni kuku kapanda baiskeliWe ndezi ndio maana unajiita ''PUNGA''. Kama hujui maana na dhima ya majukwaa ya JF piga kimya. Mimi nina heshima kubwa humu JF sasa usitake tukoseane heshima.
Mbona umefungulia choo chako humu au ndo msimu wa mvua unang'oa koki kabisaAli wa Leo kisha zeeka, mashairi na kipaji pia kimefuata mkondo. Anapata sifa za mdomoni lakini hamna kitu mfukoni, ni maridadi sana.
Sasa anamlazimisha Kidoti arejee baada ya kumkana hadharani. Demu kamchomolea, abaki na huyo Saba wake.
Umri umeenda hakuna ubunifu tena. Tukubali matokeo .Mbona umefungulia choo chako humu au ndo msimu wa mvua unang'oa koki kabisa
Acha Wivu usiokuwa na maana. Sioni popote Alikiba, aliposema atatoa perfume kama alivyofanya Diamond. Katoa products tofauti kabisa. Sasa huko kuiga kumetoka wapi? Kama ni suala la idea ya products za wasanii liko dunia mzima, sasa Sioni maana ya kusema huyu kamuiga huyu. Wote wawili wamefanya maamuzi sahihi kabisa. Hatuna budi kuwapongeza ili kuwatia moyo.Mmh kweli Diamond ndio mwalimu wa Alikiba. Daimond akifa lazima Ali Kiva naye afe maana Huyu ndio Idol. Lkn huu ushindani mzuri wa maendeleo wa kugeza mawazo ya wengine.
Wewe mpaka sasa umebuni nini?Umri umeenda hakuna ubunifu tena. Tukubali matokeo .
Muone huyu alivyokosa aibu...Yaani mkishashiba mna-kunya popote tu.Ali wa Leo kisha zeeka, mashairi na kipaji pia kimefuata mkondo. Anapata sifa za mdomoni lakini hamna kitu mfukoni, ni maridadi sana.
Sasa anamlazimisha Kidoti arejee baada ya kumkana hadharani. Demu kamchomolea, abaki na huyo Saba wake.
Safi mkuuKuna cocacolA,kuna pepsi,kuna mirinda kuna fanta,kuna azam cola,kuna mo cola,kuna azam energy kuna mo energy.
Kuna clouds fm,kuna Efm.
Kuna EATV,kuna TV E.
Swali linakuja,Diamond amekuja na Chibu,Kiba na energy drink WANAFANANAJE?
Punguza UCHAWI.
Pia ni mafanikio