Ali Kiba azimia show ya Diamond Platnumz

Kiba kazamia show ya Mondi?

Big deal or something?
 
Mwandishi ni miongoni mwa watu wa.......nge kuwahi kutokea

Heading inasema Ally kiba azimia

Content inasema Ally kiba azamia

Which is which acha upuuzi basi
 
hakuna msanii anayevamia show ya bure bure tu hiyo show kiba alilipwa na hakujua kama kuna diamond na wala diamond pia hakujua uwepo wa alikiba
 
ally kibaka a.k.a mzamiaji
 
Natamani ningekuwa mods,yaani thread legelege kama hizi ningekuwa nazifutiliaa mbali na kumpiga ban ya mwaka mzima mhusika!
 
hakuna msanii anayevamia show ya bure bure tu hiyo show kiba alilipwa na hakujua kama kuna diamond na wala diamond pia hakujua uwepo wa alikiba
Sori blaza. hiyo show ipo kwenye Ratiba za mondi miezi kadhaa kabla ya show na alikuwa anapost karibu mwezi mzima kabla ya show. kwahiyo Alikiba alijua kuwa anaenda kwenye show ya Diamond ila DiaMond hakujua kama katika show yake kutakuwa na msanii wa "SAPRAIZI"
 
ALIKIBA alikuwa mtumbuizaji wa mwisho huku DIAMOND akidhani yeye ndo alikuwa wa mwisho
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hi ni kwa mwandishi sijui alikua anawahi wapi!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…