Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Trump akiwapa makavu mna muona mbaya!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Trump akiwapa makavu mna muona mbaya!!
Sori blaza. hiyo show ipo kwenye Ratiba za mondi miezi kadhaa kabla ya show na alikuwa anapost karibu mwezi mzima kabla ya show. kwahiyo Alikiba alijua kuwa anaenda kwenye show ya Diamond ila DiaMond hakujua kama katika show yake kutakuwa na msanii wa "SAPRAIZI"
Matangazo yalitangazwa msanii wa kimataifa atakae kuepo no diamond sio kibahakuna msanii anayevamia show ya bure bure tu hiyo show kiba alilipwa na hakujua kama kuna diamond na wala diamond pia hakujua uwepo wa alikiba