Ali Kiba azimia show ya Diamond Platnumz


Naomba screen shot za hiyo show aliyoipost mwezi mzika braza
 
hakuna msanii anayevamia show ya bure bure tu hiyo show kiba alilipwa na hakujua kama kuna diamond na wala diamond pia hakujua uwepo wa alikiba
Matangazo yalitangazwa msanii wa kimataifa atakae kuepo no diamond sio kiba
Hata kwa redio matangazo yalikuavya diamond tu
Wakenya walitumia uswahili kwa mambo hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…