Ali Kiba badilika

Ali Kiba badilika

Kwenda zako loser mkubwa wewe nakuona Sana unaleta habari za shombo humu unamsema warumi hapo hapo unashinda humu huku ukichangia shombo zako unadhani utakuza jina?

Visinoko Kama nyinyi kwetu tunawapaka ute mtoto Wa kiume unakua Kama dagaa Kamba..

You are just another desparate fruitcake here in JF.
 
Kiba ameonesha kwamba unaweza usiimbe mapenzi na wimbo ukabamba.
Kiswahili safi kabisa katika wimbo wa Mwana, pamoja na methali za ndani kabisa.
Yeye ni ghorofa na wengine wote ni mafungu ya viazi.
Ova.
 
Kiba ameonesha kwamba unaweza usiimbe mapenzi na wimbo ukabamba.
Kiswahili safi kabisa katika wimbo wa Mwana, pamoja na methali za ndani kabisa.
Yeye ni ghorofa na wengine wote ni mafungu ya viazi.
Ova.
acha mahaba na alikiba wimbo wenyewe unaosifia uko wapi? duuuu
 
Hehehehe KUTANGULIA SIO KUFIKA, na mtatapa tapa sana, Mpeni heshima yake bana, Ali kiba wanne sawa sawa na Diamond mmoja
 
Back
Top Bottom