Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,681
- 8,736
Ban siwezi ipata kwa kima Kama huyo nashangaa mods wanafuga kima wanaoleta fujo makusudi kwa wenzao...
Kwenda zako loser mkubwa wewe nakuona Sana unaleta habari za shombo humu unamsema warumi hapo hapo unashinda humu huku ukichangia shombo zako unadhani utakuza jina?
Visinoko Kama nyinyi kwetu tunawapaka ute mtoto Wa kiume unakua Kama dagaa Kamba..
You are just another desparate fruitcake here in JF.
acha mahaba na alikiba wimbo wenyewe unaosifia uko wapi? duuuuKiba ameonesha kwamba unaweza usiimbe mapenzi na wimbo ukabamba.
Kiswahili safi kabisa katika wimbo wa Mwana, pamoja na methali za ndani kabisa.
Yeye ni ghorofa na wengine wote ni mafungu ya viazi.
Ova.
acha mahaba na alikiba wimbo wenyewe unaosifia uko wapi? duuuu