Unatumia Airtel, Tigo, Vodacom au Zantel?
Ova
welikamu home sweet homeeee, kijana anajua tena sanaaaa, ndio maana kurudi kwake watu suruali zimewabana ati, acngekuwa tishio c wangetuliaaa, mbona akina mb dog n mr nice wanafurukutaga kurudi lkn watu hawapanik??? kurudi kiba watu wapo icu, jibu ni moja tu he is "the badest"
Na mpira anajua huyu jembe ucmpmie hata kdogo bnafs nimemuona uwanjan anajua plus mwil wake ulivyo kiargentina twaweza kumuita culo bajo na bueno aires waka2elewa,ila yote kwa yote r kely post yake naic itakata mziz wa fitina mana ndo muhimu kwa wote 2naomjua mix kumkubal mana 2po weng
Tigo network
Poa poa. Nafanya mawasiliano Bongo ili tufanye kitu.
Ova
Mdakuzi unatutoa roho mashabiki wengine jamani..Geniveros unaujua kuuchuna!!
mashairi ya mwana yamejaa ujumbe mzito sana
Hahahaaaaa huu uzi ni wa billionaires u know....soon utaitwa billionaires thread heheeeee nyie mtaa wa pili kufeni tu kwa vihoro nawaona tu mnavyoumia roho huko
Kha!Mdada mbaya wewe!!!safari njema mpenzi hope unarudi mujini umechoka kula nyama za mbuzi dom.....uwiiiiii natamanije sasa ningekua ndo mimi pale kongwa pangenikomaje???
Hongera bibie kwa ushindi
Poa poa. Nafanya mawasiliano Bongo ili tufanye kitu.
Ova
Mdakuzi unatutoa roho mashabiki wengine jamani..Geniveros unaujua kuuchuna!!
Shoga!!!enzi hizo hata sijui you tube ni nini....anafananisha na video zilizotoka digital
Kama anataka ushindani kwa nini asizishindanishe na za davido?
Kwakweli ni lazima tuwajari hawa malkia wetu kwenye club yetu hii ya wastaarabu, ndio maana hata viwanja vinene kuna Ladies free na red carpet.
Sasa hilo jina l romy jones laje au nalo kadandia mana kila nikumuona domo jamaa yupo nyuma kma mganga w mvua.domo anatakiwa kua mbali sana ila wapambe ndio wanamrudisha nyuma atleast angekua n investment z kumuingizia hela kma apartment cz biashara hawezi pia naona ukoo mzima unamtegemea yeye
Na mpira anajua huyu jembe ucmpmie hata kdogo bnafs nimemuona uwanjan anajua plus mwil wake ulivyo kiargentina twaweza kumuita culo bajo na bueno aires waka2elewa,ila yote kwa yote r kely post yake naic itakata mziz wa fitina mana ndo muhimu kwa wote 2naomjua mix kumkubal mana 2po weng
Kwakweli ni lazima tuwajari hawa malkia wetu kwenye club yetu hii ya wastaarabu, ndio maana hata viwanja vinene kuna Ladies free na red carpet.
Kweli kabisa mkuu. Wanaulea sana huu uzi.
Ova
Mambo wangu. Uko poa?
Ova