Maneno kuntu haya.....Ni ujio wa umri tu busara zinaongezeka, unaweza sometime ukatumia trick za mamba anameza kiumbe uku machozi yanamtoka.
But/lakini ninachokuhakikishia ni kwamba they will dance our song all the time.
Usijali wangu!Hawa jamaa huwezi kuwakwepa kama umepitia COET....otherwise uwe una vinasaba na watawala!
Wanatubana sana maofisin then tukitoka job tuna relax na Nyimbo kali za Ally Kiba..........
Mbona wana copy and paste?But wakumbuke hata kama wana haraka kias gani hawawezi omba lifti gari ya mkaa.......
Nabandukaje sasa jamani?hii thread imekua sehemu ya maisha yangu na nyie ni kama ndugu zangu,nikitoka kidogo tu nawamiss hatariiii
Ni ujio wa umri tu busara zinaongezeka, unaweza sometime ukatumia trick za mamba anameza kiumbe uku machozi yanamtoka.
But/lakini ninachokuhakikishia ni kwamba they will dance our song all the time.
yap mamie unajua mafans wa Ally Kiba ni waastarabu kama alivo yeye....besides Ally Kiba si mjivuni ndo maana kawatoa kimziki madogo kibao so i appreciate him!na ile sauti ilivyo tamu sasa duuuuh fuul burudani na kusahau machungu na stress zoteee
yap mamie unajua mafans wa Ally Kiba ni waastarabu kama alivo yeye....besides Ally Kiba si mjivuni ndo maana kawatoa kimziki madogo kibao so i appreciate him!
chezeaaaaa!! hata kibaka akizidiwa na kipigo cha wananchi huomba lift kwenye difender
roho zinawatokaje sasa! wanatamani kuigaaa ila wanashindwa wanaishia kuponda huku wanaumia, wakaamua kumchokoza Matola ati! ungewanyamazia tu
Hahaaaaa
Naskiza eastafrica radio kipindi cha eastafrica breakfast wanasema mwana ni song of da year, kiba ni kichwa cku zote nyimbo zke zina ujumbe
Kiba vampire level hayo ya kuuliza mbona unakaa kimya muda mref jay moe ndo alisema shabik wa ukwel anaomba picha na sahihi sio anauliza maswal ya kisambinyigwa ambayo jibu lake mwanadsm na ngoma kal kama famous,ila kumdharau m2 aliyesimama kwenye game muongo1 na ushehe yawezekana ukawa ujanja ila upande wangu siwez kuufuata kamwe mana wapo waliochemka kwenye jiko la gesi 2kazania labda kupoa itakuwa ngumu kumbe wap we nenda kamuulze mb dog alikuwa anajiskiaje kwenye show za bure za kpnd kile
Acha kabisa, ile nyimbo imetungwa bhana. Kingekuwa kitabu ningependekeza kitumike kwenye fasihi mashuleni.
Form is Temporary but CLASSIC is permanent......Ally Kiba town kitambo kipindi hicho Diamond anagombea kupiga picha naye while Ally Kiba anafanya yake!For more info.muulize Queen Darleen........
jamaa yenu ana wakejeli ana jiita ye ni japan hna shida ya kusaidiwa na watu wenye njaa kwa hiyo walio kua wana shinda humu jamvini kujaza page kisa buku 20 kawa fananisha na nchi ombaomba kama malawi . waenda likizo mtwara? salamu kwa chingas wote.
"boon voyage"
Acha kabisa, ile nyimbo imetungwa bhana. Kingekuwa kitabu ningependekeza kitumike kwenye fasihi mashuleni.