Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Umeona eeeeh!
Ebu fikiria verse kama hii unaidadavua mbele ya wanafunzi wakiwemo wale matozi wa darasa....
"we bado mtoto kwa mama hujayajua mengi.
Mwenda tezi na omo marejeo ngamani
Amesema sana mama dunia tambala bovu ee
Kuna asali na shubiri ujana giza na nuru"
Lazima wakune vichwa ati!
Dah shikamoo Kiba!
yaani wanaelewa mpaka wanaumwa, marahabaaaaa/ usishangae naitikia kwa niaba