Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Umeona eeeeh!
Ebu fikiria verse kama hii unaidadavua mbele ya wanafunzi wakiwemo wale matozi wa darasa....

"we bado mtoto kwa mama hujayajua mengi.
Mwenda tezi na omo marejeo ngamani
Amesema sana mama dunia tambala bovu ee
Kuna asali na shubiri ujana giza na nuru"

Lazima wakune vichwa ati!
Dah shikamoo Kiba!

yaani wanaelewa mpaka wanaumwa, marahabaaaaa/ usishangae naitikia kwa niaba
 
Watu wamelewa bila kunywa.
Na lile taputapu lilotapikwa juzi ayiii.....hata Ivetta ya Sajna ina uafadhali!

hahaahaaaaa!
ukilewa unajua hata lami unaona ni bahari, hiyo yote ni mwana imewadatisha hata hawajiewi
 
Ally k 4real namkubali sana tungo zke zimesimama pia sauti anayo akipata management nzuri atafika mbali sana,wazee w location kila cku kuimba mapenz 2 n kutafuta kick z kijingajinga

mi pia nilikua nawaza km wewe kuhusu mapenzi kiba anaweza kuimba maudhui yote yanayozunguka jamii mfano ya karima,mack muga na huu mwana dsm
 
Umeona eeeeh!
Ebu fikiria verse kama hii unaidadavua mbele ya wanafunzi wakiwemo wale matozi wa darasa....

"we bado mtoto kwa mama hujayajua mengi.
Mwenda tezi na omo marejeo ngamani
Amesema sana mama dunia tambala bovu ee
Kuna asali na shubiri ujana giza na nuru"

Lazima wakune vichwa ati!
Dah shikamoo Kiba!

Jamani wimbo wa Mwana ni wimbo bora wa mwaka na pia utakua wimbo bora kabisa kupata kutokea katika tasnia ya muziki wa bongo fleva nchini....umeongelea current issue kwa ufasaha kabisa,can't wait kupiga kura kwenye kill music awards mpaka vidole vipasuke na sim itastack....
 
wadau nashukuru kwa hongera zenu ht mie sikutaka washinde wao nikasema ndoo lazima ibaki home nikaanza mtiti wa haja
nifah wengine waume zetu wako mbali mnakaa ht wiki hamuwaoni wanasaka hela za mabando
nashukuru zawadi nimepata na nshatumia pale gairo zamaani
AHSANTENI WOTE NAWAPENDA SANA
TUZIDI KUMSHAURI ALY KIBA ASIBWETEKE AFANYE MZIKI KAZI....!!!
SIO MAPENZI...!!!
SIO UBITOZI....!!!
 
mi pia nilikua nawaza km wewe kuhusu mapenzi kiba anaweza kuimba maudhui yote yanayozunguka jamii mfano ya karima,mack muga na huu mwana dsm
atoto kauliza umepanda treni au?safari gani usiyofika?
 
Last edited by a moderator:
na mpira anajua huyu jembe ucmpmie hata kdogo bnafs nimemuona uwanjan anajua plus mwil wake ulivyo kiargentina twaweza kumuita culo bajo na bueno aires waka2elewa,ila yote kwa yote r kely post yake naic itakata mziz wa fitina mana ndo muhimu kwa wote 2naomjua mix kumkubal mana 2po weng

jana nlikua home kwetu tukawa tunaongelea kuhusu wasanii akatokea mdogo wangu na mama wote wanampenda kiba nkamwambia b.mkubwa hadi wewee akasema"ndio"
tuko wengi sana
 
mi pia nilikua nawaza km wewe kuhusu mapenzi kiba anaweza kuimba maudhui yote yanayozunguka jamii mfano ya karima,mack muga na huu mwana dsm

Hop ujumbe we2 utawafikia wadau hata manwater anaweza kuwa meneja wke cz man anauwezo huo
 
jana nlikua home kwetu tukawa tunaongelea kuhusu wasanii akatokea mdogo wangu na mama wote wanampenda kiba nkamwambia b.mkubwa hadi wewee akasema"ndio"
tuko wengi sana

Uwiiiii me lap u guys.....
 
ni ujio wa umri tu busara zinaongezeka, unaweza sometime ukatumia trick za mamba anameza kiumbe uku machozi yanamtoka.

But/lakini ninachokuhakikishia ni kwamba they will dance our song all the time.

sure sikio halizidi kichwaaaaaa.....!!!
Kamweeeeeeee
 
kiba vampire level hayo ya kuuliza mbona unakaa kimya muda mref jay moe ndo alisema shabik wa ukwel anaomba picha na sahihi sio anauliza maswal ya kisambinyigwa ambayo jibu lake mwanadsm na ngoma kal kama famous,ila kumdharau m2 aliyesimama kwenye game muongo1 na ushehe yawezekana ukawa ujanja ila upande wangu siwez kuufuata kamwe mana wapo waliochemka kwenye jiko la gesi 2kazania labda kupoa itakuwa ngumu kumbe wap we nenda kamuulze mb dog alikuwa anajiskiaje kwenye show za bure za kpnd kile

for sure uko sawa kabisa
 
jamaa yenu ana wakejeli ana jiita ye ni japan hna shida ya kusaidiwa na watu wenye njaa kwa hiyo walio kua wana shinda humu jamvini kujaza page kisa buku 20 kawa fananisha na nchi ombaomba kama malawi . Waenda likizo mtwara? Salamu kwa chingas wote.

"boon voyage"

vp nikupunguzie kifurushi nini?!
 
Last edited by a moderator:
Jamani wimbo wa Mwana ni wimbo bora wa mwaka na pia utakua wimbo bora kabisa kupata kutokea katika tasnia ya muziki wa bongo fleva nchini....umeongelea current issue kwa ufasaha kabisa,can't wait kupiga kura kwenye kill music awards mpaka vidole vipasuke na sim itastack....

We umeutizama kwa upande wa pili kama ninavyoutizama mimi.
Licha ya burudani tunayoipata lakini pia huu wimbo unamlengo muhimu sana.
Asante Kiba kwa kutokukurupuka!

Speaking of Kili Music Awards....heheh ngoja tu nimezee kwanza!!
 
Back
Top Bottom