Form is Temporary but CLASSIC is permanent......Ally Kiba town kitambo kipindi hicho Diamond anagombea kupiga picha naye while Ally Kiba anafanya yake!For more info.muulize Queen Darleen........
Kha!watu wachonganishi jamani!sawa sisi ni masikini na ombaomba wewe inakuhusu nini?
Alafu si mmeambiza msije huku,mbona unaasi kambi?
Nataka niwatimbie kule kule niwape za uso......niwape ambakati chembe kidevu lazima wakae!Heheeeee walioanza kuujua mziki enzi ya kitorondo watabisha na povu litamwagika la nguvu
Nataka niwatimbie kule kule niwape za uso......niwape ambakati chembe kidevu lazima wakae!
Wale watu wana wivu balaa,eti wameambizana wakija huku wanatupa kick watuache uzi wetu udode....hahaaaa poleni sana hili ni jeshi kubwa hatutegemei/hatuwataki huku washamba wakubwa nyie
Nataka niwatimbie kule kule niwape za uso......niwape ambakati chembe kidevu lazima wakae!
anaachaje kuja sasa!!! weweeeee hapa mtakujaaaaa, vinawabanaaaa mwisho wanajikuta kwa mapenzi makubwa waliyonayo kwa kiba wenyewee wanajileta, kiba kiba kiba kiba kiba..... (hapo nimekumbuka mbaaali)
daaaaah!wana midomo michafu balaa......Hhaaaahaaa achana nao bwana,usiende kushusha hesma yako buure kule kwenye matusi special thread
Hahaaa naona huo muswada ungepitishwa kwa kishindo bila kura ya hapana hata moja
Hahahaaaaa uwiiiiiii atoto ujue wewe ni chizi sana...
Kitu cha leaders hichoooooo
daaaaah!wana midomo michafu balaa......
Ayaaah!!! Unaanzaje sasa kuubishia wimbo kama huo? Hata mtaa wa pili wanajifaragua tu wasiambiwe wamesaliti kambi!
Ayaaah!!! Unaanzaje sasa kuubishia wimbo kama huo? Hata mtaa wa pili wanajifaragua tu wasiambiwe wamesaliti kambi!
tena na wao walikuwepo ile cku kumsaport kiba, wakamshangiliaa na kuzomeaa upende mwingine ila waliporudi huku wakaanza kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa eti oooh walilipwa!! huku waseme sie masikini sasa hizo hela za kuwalipa zilitoka wapi!??? Kiba anawapa homa watu
Nakuambia,hashuo tu wakimaliza wanaserebuka na mwana...sipati picha jitu zima kama chinga akicheza kitorondo....uwiiiiiiii
tena ningekuwa mwl ningekifundisha kwa usongo maana ningekuwa na mapenzi nacho, na wanafunzi wangekielewa kuliko kitabu chochote! huhuuuuu! kiba bwana mie hoiii
Nakuambia,hashuo tu wakimaliza wanaserebuka na mwana...sipati picha jitu zima kama chinga akicheza kitorondo....uwiiiiiiii
wao wenyewe wanajua ule wimbo nomaaaa, ulivyotoka waliusifia balaa, enzi hizo ndio walikuwa wao halisi now hata wao hawajitambui, mwana imelewesha watu mpaka basi yani