hahaaaa!! naimagine boga lilivyo alafu mtu analinya, haki ya nani lazima upasuke vipande vipande!!
mamiii unataka wk iishe haraka sio! leo tayari ni j4 eti!!!
Uwiiiii sijui niseme nini jamani!so happy,happyyyyy
Ndio raha ya kuchaguwa The winning Team siyo unakaa na bunch of losers.
Unacheza na wazee wa box? Usikute ameshapewa control number asubuhi apitie western union kudraw kamzigo.