Ali Kiba Fans' Special Thread...

Huyo Dai wala hatupi pressure tupo na afya tele,nawaonea huruma nyie mnaojipigisha makelele humu,vipi kwani uzi wenu umejaa!!Au ndo mnaringishia 'tuzo'?.mbona hamjiamini??

Msalaba na jumlishaaaaaaa
 
Ukitaka kujua Kiba habari nyingine nenda nyuzi nyingine uone misukule wanavomtaja taja!!Na mtamuelewa tu,Kiba ni King mpaka kwenye fikra zenu!!

Mi ndio maana nimewaletea taarifa ili msipate taabu ya kusoma kimya kimyaaa hatuba uadui tushereheekeee tuuu
 
Kiba unaumiza watu roho baba yeleuwiiiiiiiiii. yaan watu wana hashuo la kwapa kunuka pasipo kidonda. Jamani eeeeeh mwatujazia uzi hatujawaita mbna kuna uzi mingi tu ya huyo play boy wenu kwann mcweke huo uharo wenu.?? Alaaah embu mtupishe
 
Msalaba na jumlishaaaaaaa
Hata ingekua gawanya hamna la ajabu kabisaaaa!!Kiba kiboko yenu,amewakalisha mpaka nw mnajicomentisha kwenye uzi wa fans wake,najua kimoyo moyo unamkubali ila huwezi sema shoga yangu!!
 
Jamani angalieni msijiqoute tu hata sie hatujapenda kabisaa kila kitu Dai tu mpaka anakeraaa poleni rafiki zetu, ,,,yaan kuna timu ya mpira ukiishabikia lazima uumwe sasa ndio nyieee
 
Hasira kisa!?Usilazimishe hisia hizo hapa amani mioyoni imetawala tunawashanga nyie na utoto wenu!!
 
Ahahahahahahaha
Watu wana hasira. .wataporomosha maneno magumu magumu. ....

Et dada mim nimewaletea taarifa tu kusoma kimya kimya sio vizuriiii et dada mwallu
 
Last edited by a moderator:
Hata ingekua gawanya hamna la ajabu kabisaaaa!!Kiba kiboko yenu,amewakalisha mpaka nw mnajicomentisha kwenye uzi wa fans wake,najua kimoyo moyo unamkubali ila huwezi sema shoga yangu!!

Tatizo nyotaaa shoga angu
 
Kizuri chajiuza na kinawavuta wengiii!mtakuja tu maana hapa ndo nyumbani kwa mfalme,
 
Mmepagawa sana,inaonyesha ni kiasi gani hamkutarajia!sasa nauliza tuzo ya dai y taarifa kwa Kiba!ina maana mmekubali Kiba ndo kiboko ya Dai!!ha ha ha,gadem mburulaz!I like it!
 
Yani mnaleta taarifa mmeombwa!!mnareport kwa King au sio,inapendeza sana,..keep us company we like friends!!
 
Mjumbe hauawi...taarifa haidhuru mtu ati

Una akili sanaa nishawapa taarifa wameze wateme dawa ishapenyeza ngoja nirudi kwetu sie hatujazi page jf maana hamna tuzo sie tunajaza tuzooo tuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…