Ali Kiba Fans' Special Thread...

Yani kupata tuzo dai wamechanganyikiwa wanakimbilia kwa Kiba!!amewapa uchungu hadi wanataka kutaga mayai,mmewahi kumwona kuku anayetaka kutaga anavokua!?

Oooh watu bado wana mawenge ya kuzomewa xo walikuwa hawajapata pa kutuliza hasira dats y wanatatarika km popcorne. Kiba oyeeeeeeeeeee endelea kuwanyima watu ucngizi baba go on king
 
Kiba you are the best!!Woooooooooyooooo!!Na mtahara sanaaaa!!Nini povu kunitoooka hamjawahi kuona mtu anatokwa na maji sembuse Povu ukiona ivo sabuni imekole!!
 
Nashukuru Diva kwa maneno Kuntuuu!Wanahara na tiba hawaijui!mioyo inawapasuka na ndimi zinawatoka kutujazia nzi humu!!Kiba miaka mia!!sasa kama Kiba hafai why wanamtumia kama comparison ya dai!!

mlianza nyie na kelele zenu za makopo kama ya mwaka mpya oooh!! the king iz back kaja kufuta vumbi, wapi king??? tukiwaambia toeni hizo tshet fasta ili zimbust king wenu atoe video kabla watu hatujasahau mashairi mnatoa povu?? sisi tunawapenda lakini kwa vile wenzetu mna nyota ya mbuzi kuishia kunywewa supu mtabaki hapo.
 
huu uzi ulipofunguliwa tu hakuna popote palipoonyesha chuki na mtu yoyote ile, ila sasa watu wakaja na balaa zao utadhani wamelazimishwa kumshabikia kiba, sasa kama hawanyimi ucngizi ni kwann mnajitoa ufahamu? hii inaonyesha ni dhahiri wao ndio wana chuki na kiba thats y hawaishi kumtaja hata ambapo hausiki na kumleta mwingine ambapo hahusiki, jamani kuna watu fujo zipo damuni na wasipofanya hivyo hawawezi pumua, so watachokonoaaa hata ambalo halipo tu ilimradi lionekane lipo
 
Yani kuna watu washamba sana hapa chini ya jua mpaka naona huruma jamani!!ushamba na uswahili ulokithiri ni mzigo sana kudolishia at this age!badala ya kubaki kwenu huko kunakonuka shombo mnajipitisha kama misukule ilopotea njia ya kwao!!
 
Heheeee kwan kiba una hatimiliki ya kummiliki eee acha roho mbayaaa

Teh teh ninayo njoo ipake rangi iwe nyeupe BTW mwache Kiba akae mama rudi kwa domo mtuachie miaka billion no need of kiki from domos fans
 

Na walianza wao kumlinganishaaaa na Dai, ,,wakubali yoteeee kwanza kumzomea fiesta kote kuleee Dai ye anapiga hatua tu jamanii dai ni nyokoooooooooo
 
Yani kuna watu washamba sana hapa chini ya jua mpaka naona huruma jamani!!ushamba na uswahili ulokithiri ni mzigo sana kudolishia at this age!badala ya kubaki kwenu huko kunakonuka shombo mnajipitisha kama misukule ilopotea njia ya kwao!!

Heheeeeee una hasiraaa shoga yangu basi yaishee
 

Kelele unazifaham tulipiga madebe??tulikuja kwenu kuwatangazia!!grow up acha uchokoz wa kitoto lady!!ukiona povu linatoka ujue sabuni imekolea(kiba),alafu wewe unapenda sana kukimbilia neno 'roho mbaya',yani uniite nna roho mbaya kisa nazimika na mdundo wa Kiba!!plz!!Ukiwa mchokoz uwe na kumbukumbu!!hujawahi kuniona kwenu hata siku moja nikimkandia ndomo!!Na bado naona unajamba jamba tu huna jipya,enjoy ur stay in the mantion!!
 
they learned from the best, so mie walaaa sishangai, birds of the same feathers always flys together
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…