Ali Kiba Fans' Special Thread...

Kuna sehemu nimetaja sura mimi aiseee poleee kunywa panadol na maji mengiii, ,,we umekazana na sura ya dai huoni anang'oa watoto wakareeeeeeeee,,,,

Mwanaume hasifiwi suraaa anasifiwa kaziiiiiii

Ulikimbia shule English inakupiga chenga kama ndomo wenu!'Ugly faces' hujui maana yake??mdomo kama chuchunge unatamka kwa maandishi mambo usoyaelewa!!mwanaume mbaya mbaya tuuuuu!!Humu pia hatujaja kuuza sura!!sura kalingishie boifrendi wako!!ptuuuu,wewe messenger fikisha kwa jirani yako
 
kama wewe sasa, wewe ndio mwenzangu sasa, yani wewe ni copy yangu, chooni tumechukua likizo ya muda mrefu kidogo, umbeya ndio kazi yetu toka jana tumo huku ndani, tofauti yetu ni moja tuu, wewe kinachokuweka humu ndani ni stress, mm nimekeshea tuzo weraweraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!! go mondi goooooooooooooooo wauweeeeeeeeeeeeeee wazibe nnyeeeeeeeeeeeeee
 
Ulikimbia shule English inakupiga chenga kama ndomo wenu!'Ugly faces' hujui maana yake??mdomo kama chuchunge unatamka kwa maandishi mambo usoyaelewa!!mwanaume mbaya mbaya tuuuuu!!Humu pia hatujaja kuuza sura!!sura kmlingishie boifrendi wako!!ptuuuu,

Sasaaa mi hayo sijaongeaaaa hayo ni yako unapayukaa,,,pole bibieee halaf sina boifrend kwaaaa kwaaaaaaaaaaaa
Mwanaume awe mzuri atongozwee!!!?itakua hujui kiswahili rudi usome ulichokiandikaaa
 
Ana hasira bibieeee Yaan anaropoka tu hata ambayo hayapoo duuuuuuu,,asisahau kuja airpot
 
Sasaaa mi hayo sijaongeaaaa hayo ni yako unapayukaa,,,pole bibieee halaf sina boifrend kwaaaa kwaaaaaaaaaaaa

Limekuingia!!jirani yako unaelewa maana yake!!yani wewe una mme shoga unashinda humu??makubwaaa!!Kiba utavunja ndooooa haaa
 
Siwezi kufanana na msukuleee!!unatamaaaani kuwa copy yanguuu!!never!!Kiiiiiiiiba wauweeeee!!
 
Limekuingia!!jirani yako unaelewa maana yake!!yani wewe una mme shoga unashinda humu??makubwaaa!!Kiba utavunja ndooooa haaa

Heheeeeeeeeeee sina mme na inaelekea nawe huna maana tunashinda wote humuu haaahhhhaaa
 
Kibaaaa miaka miaaaa!!mtakuja mtaondoka!!mtakuta mahaba yanazidiiii!!Kibaaaa miaka miaaaa!!Usiniseeme!!Usiniseeeme kama nampenda Kibaaaa!Usinishangaaaaeeee usinishangae nampenda Kibaaaa!!mtatunga habariii nna hasira nna stress ila sibadili nna furahaaa telee kumshabikia Kibaaa npo huru kutetea msimamo wanguuuu!!Ngoja nkafanye mambo mengine misukule endeleeni kuwanga catch up with u later!!
 
Nawe unakimbiaaa hhhhhhaaaa haya bye
 
Sina mume ninaye siwezi kujiashua kama weye shoga yangu!!Mie naja humu muda wa mapumziko,weye muda woooote!!haaa shogaaa!!utanichukia bureee Kibaaa nampendajeeee najua unampenda piaaaa
 
Yaani kweli nimeamini kusoma kuelewa na cku zote jasir haachi asili hata hawajishtukii hawa watu mbna kule hawaji kweli ukiuzoea huu ule huuwez utachoka miguu kwa utembezi. #Kiba4life

Na hapo ndo utajua uelewa wao ulipoishia wamezoea kudorishiana ndo sababu wengine hadi wanaume what a shame wanataka mashindano ati????
 
Siwezi kufanana na msukuleee!!unatamaaaani kuwa copy yanguuu!!never!!Kiiiiiiiiba wauweeeee!!

wewe hapo ndio monitor wa misukuleeee wewe hapo ndio yule ndondocha kiongozi, toka jana tumeshinda wote humu ndni, unajua wewe hujielewi na stress zitakuuwa si bure, toka jana najibishana na wewe, leo hii eti waniambia sina kazi zaidi ya kushinda humu??? wewe je umeshinda wapi???? kweeeendraaaaaaaaaaaa mirembe inakutafutaaaaa na ukicheza nawaambia ulipo
 
Sina mume ninaye siwezi kujiashua kama weye shoga yangu!!Mie naja humu muda wa mapumziko,weye muda woooote!!haaa shogaaa!!utanichukia bureee Kibaaa nampendajeeee najua unampenda piaaaa

Ni wangu jamanii tatizo wapii,,,we ndio umechukiaa mpaka unahabuka yasiyohusu mezanii,,,kamwe umechukiaaa poleee
Hii ni sauti ya raisiii ilomshindaga ibilisiiiiii
 
Atakua kanywa gongo huyoo mpaka anasahau kua nae anashinda jf
 
Limekuingia!!jirani yako unaelewa maana yake!!yani wewe una mme shoga unashinda humu??makubwaaa!!Kiba utavunja ndooooa haaa

Teh teh kumbe wanajifanya kujicomentisha kwa Kiba hafu wengine wana na waume makubwa kweli kiba anaweza kuvunja ndoa mana hawatulii kweli Kiba mwanaume hadi wake za watu hawatuliii kiruuuuuuuuuu
 
Bora umelitambuaaa hilooo!!ulishinda na mie??weweee nmeingia humu usiku!!shughuli zangu nimwachie nani??ha ha ha!!bila shaka unaniotaaaa Kibaaaaaaaaaa atawauawaaaaa
 
Shoga ujue mi sio addict wa jf kama weye!!nawahi na shughuli nyingine uzuri hata kama ni baada ya masaa mia post unazikuta tusiwe watumwa sanaaa mpaka nkashindwa kufanya yangu kujichosha na watu walojisusa!!

Shogaaa habari za asubuhii
 
Teh teh kumbe wanajifanya kujicomentisha kwa Kiba hafu wengine wana na waume makubwa kweli kiba anaweza kuvunja ndoa mana hawatulii kweli Kiba mwanaume hadi wake za watu hawatuliii kiruuuuuuuuuu

Wanawaume shogaa huwaonagi kujifanya mme ivi mme vile??wanashinda humuuu wanadai tunashinda nao?hawashangai tunaonekana kwa masaa maalumu??haa ushabiki tuuu usahau hadi kuvaa chupi kisa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…