Ali Kiba Fans' Special Thread...

Wazembe na wazururaji ndio wana muda huo wa kwenda airport.

Katika maisha yangu nilikwenda kumlaki Mandela tu sina muda mchafu gata kwa Rais Mabusha.

matola utafungwa, unamwambia rais wako ana nini??? mi simo, basi tusubiri siku kiba akishinda ndio twende kumpokea eti??
 

matola tofautisha kifo na usingizi, wanaazaje kwanza kumpambanisha almas na kiba?? hawapo kwenye level moja hawa. kiba kuwa kwenye hii level mnayomlazimishia need to work hard kitu ambacho bado hajafanya.mbona mnakuwa wagumu sana nyie kuelewa???
 
matola utafungwa, unamwambia rais wako ana nini??? mi simo, basi tusubiri siku kiba akishinda ndio twende kumpokea eti??

Sifanyi biashara ya kumpokea yeyote isipokuwa kwa mtu kama Mandela. Hata Bush na Obama sikufanya biashara hiyo.

Mwisho Busha ni busha tu halina jina mbadala.
 
Sifanyi biashara ya kumpokea yeyote isipokuwa kwa mtu kama Mandela. Hata Bush na Obama sikufanya biashara hiyo.

Mwisho Busha ni busha tu halina jina mbadala.

basi sawa matola, busha ni busha tu- lakini si ulimskiliza jana airport alipotua tu, alisema hakuwa na busha alikuwa na kitu kingine sijui chaitwaje basi tuu wewe mbishi tena akakifananisha na ovaries kwa wanawake. mweee!!!
 

kumchukia daimond sio tatizo tatizo ni kumshindanisha hadi ikafikia hatua ya kumzomea kwenye fiesta.fiesta ilikuwa na wasanii zaid ya kumi na tano but ulmzomea diamond tu hapo ina maana diamond ni adui yenu na hamtaki maendeleo yake kmzk so kupewa tuzo katika kipindi hiki ambacho mlimzomea vya kutosha imekuwa so suprise kwenu maana ndo kwanza mashabk wameongezeka zaid.poleni sana mlichokitaka kimefeli
 

achana nao hawa wana lao jambo na hawajiamini, lacvyo walaaa wasingehaha hv
 

U can't change the past, fact ni kwamba domo alizomewa na amepigwa chini na Wema na sasa anamwita Kaka.
 

Nilipanga nipitie kimyakimya lakini hii imenifanya nishindwe kuvumilia?ati nini?
Kukbe?hahahaaaah wataacha kutetemeka ....wafanya mchezo nini?
 

Dah umewauliza swali zuri sana mana Kiba hakuwepo kwenye tuzo cha kushangaza mapovu yanawatoka kweli Kiba kiboko yao
 

Uwiiiii,umenikumbusha darasa la kwanza jamani ukinunuliwa andazi utalificha ukaringishie....hahahaaah what a shame?
 
hiviiii hili hamkulitegemea atiiii maana mlivyopagawa jamani, hizi chuki nyie ndio mlizipandikiza na mnazikuza alafu mnaanza kutafuta wabaya ilhali mnamjua, if kapata tuzo si mngetulia kwenye uzi wenu mshangilie na kumpongeza????? au huu uzi nao wake? haki ya nani kwa mtindo huu escrow nyingi zaja tz
 
Wanakata viuno tu Kiba amerudi na Mwana Dar tu wote wamepagawa kenge hawa.

Wamepaniki kweli kiba anawanyima usingizi kweli kila kitu wanaona mashindano tu kiba alikuwa kimya three good year's katoa Mwana kafunika mbaya wanakuja huku kujituliza machungu ya fiesta
 

Ah,ah, siamini ninachokiona....uko vizuri mama!!!
 
Uwiiiii,umenikumbusha darasa la kwanza jamani ukinunuliwa andazi utalificha ukaringishie....hahahaaah what a shame?

Teh teh teh ndo walivuka hiyo stage hadi wakiume nao wanadorishia hii si shiider kuruka stage ni majanga
 
kama kiba hawasumbui ni kwann baada hilo tu wotee mkahamia huku??? as if kiba kawakaba koo hampumui, alafu mnalazimisha watu wawe na chuki kwa wasanii hata kama hazikuwepo, kuweni waelewa sio mnahangaika tuuuu na kujiridhisha na kile mnachokiamni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…