Ali Kiba Fans' Special Thread...


mmmmhhhhh
hatariiiii hiii bora alivyokataa
 

Safi sana,sisi tulivyokasirika alivyosema atamsaidia Kiba wetu walisema tuna wivu,na Chameleon je?
Sifa hizi bwana...
 
Haha hahaaa ndio maana ana kitambi kama kiroba cha njegere nini?

Huyu jamaa kwenye section ya kula usimtanie, idara ya jikoni anavyoimudu hata washkaji sometime walikuwa hawamchangishi pesa za kulipia appartment.
 
Heheh ndo nshapita hapa hapa sasa, ntaanzaje kupita vile nawe huna uwezo wa kufunga mtaa??!! Funny!

If you allow my words.....we ndo unaonekana una roho mbayaaaa roho ya kwanini maana hilo neno umeling'ang'ania sana Btw: get us some coral paints.....if you won't mind anyways!!

Huhuhuhuuuu if being identified as ugly is a sin then u'll be the first to hell, and if being identified as beautiful is not a sin nor any kind of crime then Am gonna get the V.I.P seat to heaven!!

 
Huyu jamaa kwenye section ya kula usimtanie, idara ya jikoni anavyoimudu hata washkaji sometime walikuwa hawamchangishi pesa za kulipia appartment.

Haha haaaaa Matola bwana,kumbe nawe una ubuyu hivi...
 
Last edited by a moderator:

Fella alienda SA wakati wa ule mkumbo wa vijana kukimbilia SA kusaka maisha. Akaenda kule akakwama kabisa, tena baada ya serikali ya kule kudhibiti wauzaji wadogo wa kete za dawa za kulevya (nadhani mmenielewa) akarudi zake Bongo.
Aliporudi Bongo akakuta Juma Nature ndo anatoa album ya Ugali, akawa kama mpambe wa Nature ambaye alikuwa chini ya Bongo Records na Kusaga wa Clouds.
Alichokuwa akifanya ni kumsimamia DJ anayempigia Nature nyimbo zake anapotumbuiza jukwaani, kwa kuwa Nature hakuwa na DJ wake.
Pia akawa akifanya issue za kuandaa show pale Luxury Pub. Baadaye ndio akamshauri Nature kuanzisha Wanaume Family ili kusaidia wanamuziki wa Temeke ambao wakati ule kila msanii alikuwa akitaka kuimba na Nature ili atoke. Ndo moja kwa moja akawa kiongozi wa kundi.
Alipokuwa kiongozi wa kundi akawa ndiye mwenye jukumu la kupatana bei ya show, sasa hapo ndo alipokuwa anawapiga coz alikuwa anapatana hela flani, halafu akina Nature anawaambia hela ya chini zaidi huku akipanga na anayewakodi.
Mwisho Nature akashtukia na kuachana naye.
Ova
 

mtoa uzi hapo juu kaandika kwa tambo eti ali kiba kafanya mapinduzi na cha kushangaza sehemu ynyw yalipofanyika hayo mapinduzi ni leaders,Mwambie kuwa mapinduzi yamefanyika jana iwekwa historia mpya hakuna msaani yoyote wa afrika mashariki aliyewahi kuchukua tuzo tatu za channel O...kama wanachojisifu ni shangwe ile siku hata msaga sumu alizipata.Msaani wenu inabidi akaze buti kushindana na kina barnaba huku kwngn maji marefu...IMEJIPOST
 

Sasa wewe unatakaje labda uu ni uzi Wa Kiba una angaika we we tukusaidiaje sasa hafu mje na normal I'd Alikiba forever More leave us stop crying about our really Kiba tunamkubali sana miaka mia haters like you gonna bounce Alikiba for really foreeeeeeeeeeeeever
 

Bora umemjibu maana mimi nampotezea,dizaini anatafuta kick hivi...
 
Huu uzi wetuuu!!tutajadili lolote!!Nyie ya kwenu hamyaoni wanaume wazima mnapitisha vimpwapwiso vyenu mbele ya wanaume wenzenu na wanawake makini kama sisi!!Piteniii mkajambiiie kule na nyaraka zenu tunadharau hata hatusomi!!Kibaaaa wauweeee!!
 

Nakuheshimu sana Avemaria umejua kufunga watu midomo. Asante sana.
Ova
 
Last edited by a moderator:

Goo goo go!!go Beauty!!Goo goo!Its ur homeee gooo
 
Hivi huyu ally kiba ni mbwa gani mbona simjui? Kwa nini alinganishwe na nguli almasi?
 
Huu uzi wetuuu!!tutajadili lolote!!Nyie ya kwenu hamyaoni wanaume wazima mnapitisha vimpwapwiso vyenu mbele ya wanaume wenzenu na wanawake makini kama sisi!!Piteniii mkajambiiie kule na nyaraka zenu tunadharau hata hatusomi!!Kibaaaa wauweeee!!

basi sawa ni naondoka ila mfikishieni ujumbe jamaa wenu kuwa cku hz adam juma anafanya mpaka video za mkopo achonge nae wafanye moja atakuja kumlipa akiperfom fiesta ya mwakan....Bye
 
basi sawa ni naondoka ila mfikishieni ujumbe jamaa wenu kuwa cku hz adam juma anafanya mpaka video za mkopo achonge nae wafanye moja atakuja kumlipa akiperfom fiesta ya mwakan....Bye

Hajaja kukuomba na aishi kwa kuendeshwa na matukio au bendera fata upepo hafu mikopo ni kawaida hata USA ni super power lakini wanakopa huna jipya ukwendreeeeee hukooo Ali kiba forever
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…