Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Wala sababu sio hiyo, coz Zarina sio mwanamke wa kuonewa wivu, watu wanajipigia tu. Ndio maana hata yule muuza sembe wake aliyekuwa akimpa jeuri ya pesa alimtosa, na sasa ana demu mwingine anaishi naye SA.
Chameleon alichukia coz aligundua kuwa Nassib ndiye aliyesambaza habari za kuwa eti Chameleon kaomba collabo kwake, kwa wakati ambao kuna kampuni ilikuwa ikitaka waimbe wimbo wa pamoja, kwa hiyo Nassib alitaka wimbo ukitoka ionekane Chameleon aliomba Collabo.
Sasa Chameleon ndo kakasirika sana na kawaambia wanamuziki wa Bongo na Kussaga wa Clouds Media juu ya kukasirishwa kwake na kitendo cha Nassib, kisha akam-block katika akaunti zake.
Ova

mmmmhhhhh
hatariiiii hiii bora alivyokataa
 
Safi sana,sisi tulivyokasirika alivyosema atamsaidia Kiba wetu walisema tuna wivu,na Chameleon je?
Sifa hizi bwana...
 
Haha hahaaa ndio maana ana kitambi kama kiroba cha njegere nini?

Huyu jamaa kwenye section ya kula usimtanie, idara ya jikoni anavyoimudu hata washkaji sometime walikuwa hawamchangishi pesa za kulipia appartment.
 
Heheh ndo nshapita hapa hapa sasa, ntaanzaje kupita vile nawe huna uwezo wa kufunga mtaa??!! Funny!

If you allow my words.....we ndo unaonekana una roho mbayaaaa roho ya kwanini maana hilo neno umeling'ang'ania sana Btw: get us some coral paints.....if you won't mind anyways!!

Huhuhuhuuuu if being identified as ugly is a sin then u'll be the first to hell, and if being identified as beautiful is not a sin nor any kind of crime then Am gonna get the V.I.P seat to heaven!!

pita hivi............siongei na stressed people, i have realized am in full stress zone, no wonder ugly faces its your identity, am out i can not handle your anger anymore sijazoea mwenzenu, endeleeni kujiliwaza siku mfalme wenu akionesha ufalme wake kwa vitendo nijakuja kumpongeza sinaga roho ya kwa nini??? kama huu mtaa wenu.
 
Huyu jamaa kwenye section ya kula usimtanie, idara ya jikoni anavyoimudu hata washkaji sometime walikuwa hawamchangishi pesa za kulipia appartment.

Haha haaaaa Matola bwana,kumbe nawe una ubuyu hivi...
 
Last edited by a moderator:
Miaka ya late 90's niliwahi kumkuta Fellah jijini Johannesburg nilikwenda kumtembelea mbongo mmoja kwenye appartment wanayoishi kulikuwa na wabongo wengine wanashare appartment ili kumudu gharama za rent pale pia nilimkuta Said Fella akiwa kama ndio chief cooker wa getto na nikweli anajuwa kukangalangiza madikodiko usipime.

Sasa baadaye maisha ya kule yalipomshinda nilishangaa kusikia hapa Bongo Fellah naye ni meneja wa Tmk. Kweli hii ndio Bongo.

Fella alienda SA wakati wa ule mkumbo wa vijana kukimbilia SA kusaka maisha. Akaenda kule akakwama kabisa, tena baada ya serikali ya kule kudhibiti wauzaji wadogo wa kete za dawa za kulevya (nadhani mmenielewa) akarudi zake Bongo.
Aliporudi Bongo akakuta Juma Nature ndo anatoa album ya Ugali, akawa kama mpambe wa Nature ambaye alikuwa chini ya Bongo Records na Kusaga wa Clouds.
Alichokuwa akifanya ni kumsimamia DJ anayempigia Nature nyimbo zake anapotumbuiza jukwaani, kwa kuwa Nature hakuwa na DJ wake.
Pia akawa akifanya issue za kuandaa show pale Luxury Pub. Baadaye ndio akamshauri Nature kuanzisha Wanaume Family ili kusaidia wanamuziki wa Temeke ambao wakati ule kila msanii alikuwa akitaka kuimba na Nature ili atoke. Ndo moja kwa moja akawa kiongozi wa kundi.
Alipokuwa kiongozi wa kundi akawa ndiye mwenye jukumu la kupatana bei ya show, sasa hapo ndo alipokuwa anawapiga coz alikuwa anapatana hela flani, halafu akina Nature anawaambia hela ya chini zaidi huku akipanga na anayewakodi.
Mwisho Nature akashtukia na kuachana naye.
Ova
 
Hahah nafurahi sana kuona hii thread inabadilika kutokana na matukio tena matukio ya Dimond na sio ally kuiba

Katoa ngoma mpyaa mkaanza kuijadili kuwa ni mbaya, kamchukua zari mkaanza kujadili, jana kachukua tuzo imekuwa topic katika uzi huu wakati hayo yakiendelea hakuna hta issue yyte ya msingi aliyofanya Ally kuiba...

Huu ni uzi bora kabisa kwa unafki ambao haujawahi kutokea duniani ....endeleeni kujadili mkimaliza muulizeni blaza video anatoa lini mwaka unaisha huuu au anaogopa kufanya video zake Visual lab??? Maana anashindana speed na Buggati wakati yy anaendesha San LG

mtoa uzi hapo juu kaandika kwa tambo eti ali kiba kafanya mapinduzi na cha kushangaza sehemu ynyw yalipofanyika hayo mapinduzi ni leaders,Mwambie kuwa mapinduzi yamefanyika jana iwekwa historia mpya hakuna msaani yoyote wa afrika mashariki aliyewahi kuchukua tuzo tatu za channel O...kama wanachojisifu ni shangwe ile siku hata msaga sumu alizipata.Msaani wenu inabidi akaze buti kushindana na kina barnaba huku kwngn maji marefu...IMEJIPOST
 
Sasa wewe unatakaje labda uu ni uzi Wa Kiba una angaika we we tukusaidiaje sasa hafu mje na normal I'd Alikiba forever More leave us stop crying about our really Kiba tunamkubali sana miaka mia haters like you gonna bounce Alikiba for really foreeeeeeeeeeeeever
 
Bora umemjibu maana mimi nampotezea,dizaini anatafuta kick hivi...
 
Huu uzi wetuuu!!tutajadili lolote!!Nyie ya kwenu hamyaoni wanaume wazima mnapitisha vimpwapwiso vyenu mbele ya wanaume wenzenu na wanawake makini kama sisi!!Piteniii mkajambiiie kule na nyaraka zenu tunadharau hata hatusomi!!Kibaaaa wauweeee!!
 
Heheh ndo nshapita hapa hapa sasa, ntaanzaje kupita vile nawe huna uwezo wa kufunga mtaa??!! Funny!

If you allow my words.....we ndo unaonekana una roho mbayaaaa roho ya kwanini maana hilo neno umeling'ang'ania sana Btw: get us some coral paints.....if you won't mind anyways!!

Huhuhuhuuuu if being identified as ugly is a sin then u'll be the first to hell, and if being identified as beautiful is not a sin nor any kind of crime then Am gonna get the V.I.P seat to heaven!!

Nakuheshimu sana Avemaria umejua kufunga watu midomo. Asante sana.
Ova
 
Last edited by a moderator:
Heheh ndo nshapita hapa hapa sasa, ntaanzaje kupita vile nawe huna uwezo wa kufunga mtaa??!! Funny!

If you allow my words.....we ndo unaonekana una roho mbayaaaa roho ya kwanini maana hilo neno umeling'ang'ania sana Btw: get us some coral paints.....if you won't mind anyways!!

Huhuhuhuuuu if being identified as ugly is a sin then u'll be the first to hell, and if being identified as beautiful is not a sin nor any kind of crime then Am gonna get the V.I.P seat to heaven!!

Goo goo go!!go Beauty!!Goo goo!Its ur homeee gooo
 
Hivi huyu ally kiba ni mbwa gani mbona simjui? Kwa nini alinganishwe na nguli almasi?
 
Huu uzi wetuuu!!tutajadili lolote!!Nyie ya kwenu hamyaoni wanaume wazima mnapitisha vimpwapwiso vyenu mbele ya wanaume wenzenu na wanawake makini kama sisi!!Piteniii mkajambiiie kule na nyaraka zenu tunadharau hata hatusomi!!Kibaaaa wauweeee!!

basi sawa ni naondoka ila mfikishieni ujumbe jamaa wenu kuwa cku hz adam juma anafanya mpaka video za mkopo achonge nae wafanye moja atakuja kumlipa akiperfom fiesta ya mwakan....Bye
 
Hajaja kukuomba na aishi kwa kuendeshwa na matukio au bendera fata upepo hafu mikopo ni kawaida hata USA ni super power lakini wanakopa huna jipya ukwendreeeeee hukooo Ali kiba forever
 
Back
Top Bottom