Ali Kiba Fans' Special Thread...

Nimeamini Jf kuna mashoga,sio bure mwanaume ukawashwa kumwita mwanamme mwenzio mbwa,atakua ashakunyima dudu wallahi!!heee!,kushikishwa ukuta ni laana akili yote inaharibika!!
 
Yeah ni 5m ila wamenikera kumuweka Athumani Nyamlani kuwa mgeni rasmi, huyu ni hakimu anayeongoza kwa kupenda rushwa Tanzania pale mahakama ya Kinondoni.

Hahaaaaa,ndio ishatokea tena,no way
 
Nyie ndugu vp?Hii thread ni special ili kumpa ALLY ushauri nasio huu usnitch mnaofanya huku. Badala ya kumshauri kiba mnaendekeza kujibu mapigo ya another side sasa mnafkiri kama kiba anafatilia maoni hapa siatawapotezea tu . Hebu achaneni na fans wa NASSIB kwasababu nao wanamaliza hasira za mtu wao kuzomewa,Nyie endeleeni na kumpa maoni kiba. MATOLA na MDAKUZI mnanishangaza sana kujitahidi njano iwe nyeupe. Sio mda wa kumpaka matope nasibu especially kwa mda huu ndo kwanza mnachekesha watu. IF U CANT DEFEAT THEM JOIN THEM.
 
Nimeamini Jf kuna mashoga,sio bure mwanaume ukawashwa kumwita mwanamme mwenzio mbwa,atakua ashakunyima dudu wallahi!!heee!,kushikishwa ukuta ni laana akili yote inaharibika!!

Kuna watu wana matatizo ya malezi, tuwavumilie. Kwa binadamu ambaye amepata malezi mazuri toka kwa wazazi na dini hawezi kufanya kuita mbwa binadamu wenzao ambao wala hawana ugomvi nao.
IQ ya mtu unaweza ipima kwenye mambo kama haya, binafsi kuna watu nimewapuuza humu JF kwa miaka yote niliyokuwamo kwa sababu ya tabia kama hizi, na mmoja wao nilimuona kaingia kwenye uzi wetu leo.
Muziki ni burudani na iachwe ibaki kuwa burudani sio kuchanganywa na tabia za kihuni, na ndio maana kila upande umeamua kuwa na uzi wake rasmi. Binafsi nimesikitishwa sana na upuuzi wake.
Ova
 
Ushauri wangu kwa THE KING KIBA pls fuata construcive ideas to ur side n not distructive ideas towards other side.Kuwa makini na wanaokushauri.Kwa yule anaekushauri ili ufanikiwe as a single person na si kwa ajili ya kumshusha mwingine mfuate,wakinyume na hapo achana nae kwasababu mapenzi yamziki mafans tunashea.Naweza kumpenda msanii zaidi ya mmoja nanikawaida mbona. So wazo lako likiwa ni kufuta kiti....come on maan...DON SHOOT THE STAR.Viti viko vingi na kila mtu anakalio lake sasa wewe relax fanya mambo na NNAKWAMBIA ukifanya kwa minajili ya kutokushinda na mtu yoyote MUTATUWAKILISHA WENGI KIMATAIFA.Just relax n do ur thing.
 

Wewe Kibaraka ebu katombeshe mbele uko kama unawashwa, soma post ya kwanza mpaka hii ujuwe nani mwenye matatizo Kenge wewe mkundupagaz..
 

acha tuinjoi movie mi napenda hii minyukano safiii wapeane tu makavu wengine tunapata misamiati mipya ya michambo lol
 
Wewe Kibaraka ebu katombeshe mbele uko kama unawashwa, soma post ya kwanza mpaka hii ujuwe nani mwenye matatizo Kenge wewe mkundupagaz..
Mpagaz bwana,anataka kusema kitu kizuri kwa kauli mbaya!Asisahau shabu...
 
hivi jamani hawa watu kwani ni wageni kwenu??? mbona mnapata shida kujibizana nao!!! camooon guys they are not worth it, life goes on, wasiwatoe kwenye njia jamani, Kiba will always remain the best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…