Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
View attachment 206854
Sio mimi ni Mungu ndio ameamua iwe hivi.
Wewe mnafki badilisha hiyo avatar ya Mandela sasa unamuaibisha mzee wa watu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 206854
Sio mimi ni Mungu ndio ameamua iwe hivi.
shiiiiiiiiiiddddddddddaaaaaaahhhhhh
Poa,ni ml. 5 eeh?
Ally Kiba ni jamaa fulani hivi anayemkojolea Mama yako.
Yeah ni 5m ila wamenikera kumuweka Athumani Nyamlani kuwa mgeni rasmi, huyu ni hakimu anayeongoza kwa kupenda rushwa Tanzania pale mahakama ya Kinondoni.
Umenipa amani!!yani siamini kama tumefikia kuitana mbwa!!
Nimeamini Jf kuna mashoga,sio bure mwanaume ukawashwa kumwita mwanamme mwenzio mbwa,atakua ashakunyima dudu wallahi!!heee!,kushikishwa ukuta ni laana akili yote inaharibika!!
Nyie ndugu vp?Hii thread ni special ili kumpa ALLY ushauri nasio huu usnitch mnaofanya huku. Badala ya kumshauri kiba mnaendekeza kujibu mapigo ya another side sasa mnafkiri kama kiba anafatilia maoni hapa siatawapotezea tu . Hebu achaneni na fans wa NASSIB kwasababu nao wanamaliza hasira za mtu wao kuzomewa,Nyie endeleeni na kumpa maoni kiba. MATOLA na MDAKUZI mnanishangaza sana kujitahidi njano iwe nyeupe. Sio mda wa kumpaka matope nasibu especially kwa mda huu ndo kwanza mnachekesha watu. IF U CANT DEFEAT THEM JOIN THEM.

Mpagaz bwana,anataka kusema kitu kizuri kwa kauli mbaya!Asisahau shabu...Wewe Kibaraka ebu katombeshe mbele uko kama unawashwa, soma post ya kwanza mpaka hii ujuwe nani mwenye matatizo Kenge wewe mkundupagaz..
acha tuinjoi movie mi napenda hii minyukano safiii wapeane tu makavu wengine tunapata misamiati mipya ya michambo lol