Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Mie niacheni nimpende tu Kiba, coz anajuaaaaaa, na ndio shida hiyo angekuwa wa ovyo walaaa acngesumbua watu
 
Weweeeeee ngoja niwape siri moja wapendwa ukiona mtu anakujadili jua kuna kitu umemzidi kibaaaaaaaaaaaaaaaaa

Ndivyo ilivyo,ukiwa sawa nao au chini yao hawawezi kukujadili...kwa kitu gani hasa?
Who runs tz?Ally K for real....hutaki kanye boga!
 
kamanda wangu huyooooo
mnisamehe niko busy kweli these days
 
Mdakuzi na mie nimekuona!!Mdakuzi ujue Le Mutuz shemeji yako kwa nifah!!Haya mbona umemkomalia sana au mambo ya wiiivu!!Kila mwenye dada hakosi shemejiiii!Cc Atoto
 
Hahahaaa hebu muacheni Mdakuzi jamani hadi anaogopa kuja hapa...
Let's give him a brake nooooow
 
Mdakuzi na mie nimekuona!!Mdakuzi ujue Le Mutuz shemeji yako kwa nifah!!Haya mbona umemkomalia sana au mambo ya wiiivu!!Kila mwenye dada hakosi shemejiiii!Cc Atoto
nifah mbona hii habari njema hujaniambia dada yako?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom