Weweeeeee ngoja niwape siri moja wapendwa ukiona mtu anakujadili jua kuna kitu umemzidi kibaaaaaaaaaaaaaaaaa
Ndivyo ilivyo,ukiwa sawa nao au chini yao hawawezi kukujadili...kwa kitu gani hasa?
Who runs tz?Ally K for real....hutaki kanye boga!
kamanda wangu huyooooo
mnisamehe niko busy kweli these days
vp mwl unaumba watu?
hahaaaaaaaaa
nna wageni so naogopa kuwa full time s unajua ndg wa mume
kweli mama, fanya yako maana hapana chezea mume wewe, we love uuu
kamanda wangu huyooooo
mnisamehe niko busy kweli these days
Hahahaa! Nipo kama kawaida, nami nimekumiss pia.
Ova
Jamani nakumiss hatariiii....
Hahahaa! Nipo kama kawaida, nami nimekumiss pia.
Ova
Mdakuzi na mie nimekuona!!Mdakuzi ujue Le Mutuz shemeji yako kwa nifah!!Haya mbona umemkomalia sana au mambo ya wiiivu!!Kila mwenye dada hakosi shemejiiii!Cc Atoto
Hahahaaa hebu muacheni Mdakuzi jamani hadi anaogopa kuja hapa...
Let's give him a brake nooooow
umeadimika kama miguu ya nyoka