Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Matola nayeee!!jana alipropose ujueee!!sasa hao wotee haa!!nifah mbona hapo kwa Mdakuzi pamekugusaaa!!
na ya Matola na Diva Beyonce cjui iliishia wapi!??
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matola nayeee!!jana alipropose ujueee!!sasa hao wotee haa!!nifah mbona hapo kwa Mdakuzi pamekugusaaa!!
Jamani leo kabla hamjalala natoa nafasi hii kila mtu adedicate kwa mtu yeyote wimbo wa King umburudishe usiku huu...Naanza na 'single boy' uende kwa atoto...nafasi ya upendeleo najipa naomba mapenzi yanarun dunia uende kwa Honey faith!
Haaa nifah wala...ujue dedication ina raha yakeee!hususan ujumbe ule wa wimbo husika mfano single boy,jamani atoto ukuburudishe sana!! Matola na Diva beyonce wamejificha sijui mtaa gani!!Le project..kuna siku Mdakuzi na wewe mlikua kimya kweli kweli!!siku ya kichambo ilee
Jamani leo kabla hamjalala natoa nafasi hii kila mtu adedicate kwa mtu yeyote wimbo wa King umburudishe usiku huu...Naanza na 'single boy' uende kwa atoto...nafasi ya upendeleo najipa naomba mapenzi yanarun dunia uende kwa Honey faith!
Loh!unanichokoza tuu uone nitamdedicate nani....mchokozi wewe?
Tusilaumu sana,yaliyopita si ndwele maana hata sisi enzi hizo tuliona poa tu lakini sasa ndio tunashtuka...nadhani pia yeye keshajua alikosea wapi,let's wait
Huwezi amini ile siku umeme ulikatika kurudi tu wale ngedere wakaondoka...
na ya Matola na Diva Beyonce cjui iliishia wapi!??
Diva Beyonce need i say more? Please come this way and Toa Le Tamkooz ni msimu wa sikukuu umeanza nijuwe wallet imepata Ouditor au bado niwepowepo kwanza? Au unaendelea kung'ata kucha kwanza?hahaaaaa!!! sasaaaaaaa namdediketia nifah na Mdakuzi - sinderela, Matola na diva - mapenzi yanarun dunia, Ms.Lincoln - mwana
huu wimbo kuna mdogo wangu anaupenda sana nimemkumbuka yeye
thnx very thanx u dont know how this song mean to me
thank uuuuuuuuu
Diva Beyonce nayeeeee!!! hebu ukuje hukuDiva Beyonce need i say more? Please come this way and Toa Le Tamkooz ni msimu wa sikukuu umeanza nijuwe wallet imepata Ouditor au bado niwepowepo kwanza? Au unaendelea kung'ata kucha kwanza?
Diva Beyonce need i say more? Please come this way and Toa Le Tamkooz ni msimu wa sikukuu umeanza nijuwe wallet imepata Ouditor au bado niwepowepo kwanza? Au unaendelea kung'ata kucha kwanza?
yo wellcome
thanx again