Ali Kiba Fans' Special Thread...

Jamani leo kabla hamjalala natoa nafasi hii kila mtu adedicate kwa mtu yeyote wimbo wa King umburudishe usiku huu...Naanza na 'single boy' uende kwa atoto...nafasi ya upendeleo najipa naomba mapenzi yanarun dunia uende kwa Honey faith!

Loh!unanichokoza tuu uone nitamdedicate nani....mchokozi wewe?
 
Ooohh jamani nampenda huyu mdada mpaka naumwa..... Honey Faith yaani hiyo I'd yake tu inanimaliza...
Nilikua natamani nimuambie bora umenikumbusha Ms.Lincoln
 
Last edited by a moderator:
Haaa nifah wala...ujue dedication ina raha yakeee!hususan ujumbe ule wa wimbo husika mfano single boy,jamani atoto ukuburudishe sana!! Matola na Diva beyonce wamejificha sijui mtaa gani!!Le project..kuna siku Mdakuzi na wewe mlikua kimya kweli kweli!!siku ya kichambo ilee
 
Huwezi amini ile siku umeme ulikatika kurudi tu wale ngedere wakaondoka...
 
Jamani leo kabla hamjalala natoa nafasi hii kila mtu adedicate kwa mtu yeyote wimbo wa King umburudishe usiku huu...Naanza na 'single boy' uende kwa atoto...nafasi ya upendeleo najipa naomba mapenzi yanarun dunia uende kwa Honey faith!

hahaaaaa!!! sasaaaaaaa namdediketia nifah na Mdakuzi - sinderela, Matola na diva - mapenzi yanarun dunia, Ms.Lincoln - mwana
 
Last edited by a moderator:
Tusilaumu sana,yaliyopita si ndwele maana hata sisi enzi hizo tuliona poa tu lakini sasa ndio tunashtuka...nadhani pia yeye keshajua alikosea wapi,let's wait

alishindwa kumlipia hotel kwa usiku mmoja Cabo Snoop na meneja wake ili wamalizie kushoot kichupa tena Cabo kipinde ndo yupo hot sana africa.Ngoma waliofanya ilikua kali sana lakin kwa bahat mbaya ndo imekwenda na maji...jamaa yupo slow more sana muombeen kwa Sir God azinduke
 
Mhhhh nimekumbuka...hivi Diva na Matola wako wapi?leo hajaonekana hata mmoja hapa?
Au nao wana project yao nini?

na ya Matola na Diva Beyonce cjui iliishia wapi!??

hahaaaaa!!! sasaaaaaaa namdediketia nifah na Mdakuzi - sinderela, Matola na diva - mapenzi yanarun dunia, Ms.Lincoln - mwana
Diva Beyonce need i say more? Please come this way and Toa Le Tamkooz ni msimu wa sikukuu umeanza nijuwe wallet imepata Ouditor au bado niwepowepo kwanza? Au unaendelea kung'ata kucha kwanza?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…