Ali Kiba Fans' Special Thread...

Hii ndo mida yangu baada ya kuwa nimepunguza shughuli zangu nyingi!

Btw vipi kuhusu Le Tamkozzz???? We mtoto wa kiume bhana inahusu kuzungusha shingo kama tiara!! Haaah

hebu mwambie huyo, et naye anang'atang'ata kucha mtoto wa kiume!!!
 
Abou nna raha hapa acha kabisaaa!!Kwa kweli King afanye yake,dua zetu na sala zipo pamoja naye!!kama upo na ukaribu naye let him know!!Hapana Chezea Kiba 4 real!!uwiii

Angalia mkojo uckutoke kwa furaha tu ucjari he already knows kuwa anapendwa toka moyoni 🏃🏃🏃🏃
 
Xoxoxo!!Video inasubiriwa na Royal family mpaka haters wanaijadili hawajui kwa kufanya ivo wanaiongezea msisimko!!Hao dancers wapo poooa!!Nlishawah kuwaona EATV wakihojiwa nadhani wameua uwiiii!!Kiba u rock!!
 
Last edited by a moderator:
Ms.Lincoln nakutuma Diva kwa ninh anadenguwa sana mpaka sasa sijaona pm? Au kuna njemba imeshatumia fursa.

Kumbe kuna fursa umu😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱
 
Xoxoxo!!Video inasubiriwa na Royal family mpaka haters wanaijadili hawajui kwa kufanya ivo wanaiongezea msisimko!!Hao dancers wapo poooa!!Nlishawah kuwaona EATV wakihojiwa nadhani wameua uwiiii!!Kiba u rock!!

Hesabu cku 123 mpka 7 from Leo Mwana loading .....
 
Ms.Lincoln nakutuma Diva kwa ninh anadenguwa sana mpaka sasa sijaona pm? Au kuna njemba imeshatumia fursa.

Ha ha ha!!Babu Ch.. Ndiye competition yako kama hujuiii!!Nawewe mwambie Mdakuzi kwanini amekataa kuniimbia au kabanwa pm!
 
Ha ha ha!!Babu Ch.. Ndiye competition yako kama hujuiii!!Nawewe mwambie Mdakuzi kwanini amekataa kuniimbia au kabanwa pm!

Chinga huyu huyu? Basi itakuwa siku hizi wanaume nao wameanza mchezo wa kuroga wanawake.

Kuhusu Mdakuzi ni wa ukweli usikonde.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…