Ali Kiba Fans' Special Thread...

hahaaaaa!! yaani nimecheka kwa nguvuuu!!! mweee sasa hiyo couple ya Mdakuzi na Diva c itakuwa vichekesho!!! hata Mungu alijua ndio maana wewe akakupa mdakuzi diva akapewa matola ili mblend jamani

So you mean Mungu 'alinipa' Mdakuzi!!Nawewe alikupa nani wako!!ha ha ha
 
Last edited by a moderator:
Shida yenyewe hata sijielewi kama na mimi ni kibabu au kijana? Maana shikamoo zimekuwa nyingi kweli siku hizi.

Back to Le project.

Uwiiiiiii sikubali jamani na mimi ngoja niende instagram nikajionee mwenyewe
 
Utoijua nimeangaika kuerejesha but tulikua wote tangu mwanzo thread Id was 👉Ambition Boy 🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶

Kumbe ndio maana juzi nimeku mention uje utuwekee mapichaz hujaja?
Miss you sana camera man wetu...
 
Morning peoplesss. Nawamiss sana wapendwa bt ubusy unanizid muwe na cku njema. Luv u all

Jamani ninavyokupenda tuu!Ulivyopotea saaaasa I feel like something missing in my heart....aaaaweee nifah loves u dear
 
Last edited by a moderator:
Morning!!uliwah kuona miguu ya mwafulenge?!utacheeka kama fito!!

Uwiiiii nakuambia sijui mtoto wao na bibi michirizi angezaliwa na miguu kama tooth peak maana bibi naye ni baraaaa
 
Ms.Lincoln nakutuma Diva kwa ninh anadenguwa sana mpaka sasa sijaona pm? Au kuna njemba imeshatumia fursa.

Yaani ukiacha habari za Kiba hapa hakuna ninachokisubiria kama Le Tamkooooz la Diva u know....
Hahahaaa ila Matola itabidi umfuate mbebez Miami u know...so jipangez u know...
 
Last edited by a moderator:
Nifah njoo uone Ally K anavotaka kuwa'murder' watu people!!Itakua mvua ya mawee iyo siku...

Naona,naonaaaa uwiiiii hiyo siku nitaangalia hiyo video yake huko YouTube mara 100 shiiida gani?
Bundle linanisumbua halina kazi GB's zipo za kumwaga.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…