Ali Kiba fukuza management- yako na anza- Moja. .Yani Ali Kiba kiukweli ni artist mzuri na mwenye kipaji asilia kabisa na mwenye uwezo mkubwa kwenye MIC.
Tatizo nnaloliona anafanya kila kitu mwenyewe or management aliyonayo ni management jina tu..tangu aachane na Guru ramadan mambo yapo slow sana..ki ukweli ni kwamba hamna team inayom push Ali to the world or to his fans..Yeye kama yeye anatakiwa kutoa kazi na kuachia management yake ifanye kazi. .haya tangu mwana itoke video mpaka sasa hivi bado haijatoka. .pia Ali hayuko karibu kabisa na fans..ndio yeye hapendi kuwa kwenye media lakini nature na kazi yake inabidi team yake iwe mbele kukaza. .hapa nikitaka kujua Kibala aka Kiba's next project,show hau chochote hamna update kokote ...Huyu jamaa ana potential kubwa sana tatizo hana Team bunifu ambayo inapush kazi zake..
Hao sijui Sony sijui nani achana nao..