Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
acha kbsa.kiba ni habari nyingine.yaani unackiliza nyimbo hata mkweo akiwepo huoni aibu.cyo mond kila kukicha mapenzi.cjui nani kamwambia wengine hawayajui.au vile ndo mambo yake?mana mtoto anapenda chini yule hatareeeeeeeee.
Hahahaa umenikumbusha kuna ustadh mmoja tokea nimjue sijawahi kumsikia akisikiliza miziki ila leo nimemsikia akisikiliza mwana tena kwa sauti ya juu sana hadi nikashangaa