Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
La kwanza niko tayari kutoa Tshirt za Kiba zenye kiwango ambapo shughuri ya kuziandaa kuna kampuni iko South Africa inaweza kuleta Tshirt katika viwango vya USA.
Taarifa ya Mshindi
Shemeji umeona Tour ya Ally k for real December hii?? Nasikia anaenda Marekani na anazunguka EA yote.. Ali k for real anatisha bana
Achana naye bwana anataka kututoa kwenye mood...huyo kawawakilisha wenzie kibao wapo hapa wanarefresh tu...
Hahahaaaaa
Heheheeer loh!umbea mbaya jamani!
Tokea lini ukatoa taarifa za King Kiba wewe?hater leo kawa fan jamani?
Wewe tulia tu ufuatilie movie kimyakimya uwepo wako hapa siutambui
Shemeji umeona Tour ya Ally k for real December hii?? Nasikia anaenda Marekani na anazunguka EA yote.. Ali k for real anatisha bana
na t-shert za matola labda zimechangia
Kima wewe siyo mzima wahi checkup kama aliyofanyiwa Profesa Mabusha.
Mhuuu!Hivi kwann bundi hulia usiku tuuu!
Heheheeer loh!umbea mbaya jamani!
Tokea lini ukatoa taarifa za King Kiba wewe?hater leo kawa fan jamani?
Wewe tulia tu ufuatilie movie kimyakimya uwepo wako hapa siutambui
Hahahaaa! Umewanyamazisha kwa mpigo hata hao wanaochungulia.
Ova
Kwa niaba ya Kiba Fans nawaomba tumpuuze tu huyo Kibwengo sisi tuendelee na yetu kwa raha zetu. Hakuna adhabu kubwa hapa JF kama kumpuuza mtu na kutomquote post yake yoyote.
Hahahaaa! Umewanyamazisha kwa mpigo hata hao wanaochungulia.
Ova
Hahahaaa najua sana wanavyochungulia hapa,wachungulie tu sijali mimi...
Asante kwa kunisikiza wangu.Sawa baby naachana naye asiniletee balaa hapa saa hizi ukakasirika bureee (uwiiii sitaki kabisa hiki kitu kitokee)
Hata mimi sijali, hakuna haja ya kuficha chochote tena kwa sababu hatuvunji sheria ya JF.
Ova
Hata mimi sijali, hakuna haja ya kuficha chochote tena kwa sababu hatuvunji sheria ya JF.
Ova