Ali Kiba Fans' Special Thread...

mama watoto haya maneno yamekutoka weye huyu??? doooh!!!! ngoja nipite hiviii.......

huna lolote ndo walewale
kiba hashindani na mtu hajaanza kutoa shooting SA kwenye nyimbo hii
mmesema hana hela ya shooting weeee
ndo kajichanga,kakopa still mnaleta majungu
na fitna kakopa,ndio,shoo za masasi zake ht km analipwa mia 2 ndo kaenda kufanya shooting
i never see such kind of people before
yaani kipindi hiki ukitoa audio,video bas unashndana!!
acheni hizo za kisaga sumu
growww upppppp guysssss
na mnaisubiria video tena ndo tujutee wafitini nyie
 
Nisipokusikiliza wewe nitamsikiliza nani mwingine?
You are my # 1,my 1 and only!


huhuhuuuu nawadetiketia lisongi "mapenzi yanarun dunia", haya ndio maneno sasa, sio mnajifichaficha nini sasa??? we only live once u know!!! hahaaaaa nifah ulikuwaga unanishushua nn sasa?? kaone
 
Last edited by a moderator:
Ucku mwema jamani atoto na mm nataka Fursa :sly::sly:😛😛
 

Attachments

  • 1417723912169.jpg
    47.1 KB · Views: 63
Last edited by a moderator:
Nadhani suala sio 'kushutia' South Africa au Somalia, hapa cha msingi ni ubora wa kampuni unayoshutia maana kuna wengine washa shoot video zao nje ya nchi kabla ya AY na Diamond lakini walitumia camera walizokuwa wanashutia kipaimara na mahafali ya darasa la saba na nadhani hata kina Diamond wanatamani waje kushutia TZ ila kuileta team ya kampuni kama Godfather inaweza kuwa gharama za juu zaidi kuliko msanii kuwafuata hukohko South.
 

hakika tunaisubiria tena sana, na kama kweli kiba alishafanyia video S/ A target yake ilikuwa ni nini?? coz haikuhit, hivi kweli ukafanyie video kusini alafu sokoni iwe kawaida plans na goals zilikuwa nini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…